Serikali yabaini kuwepo maeneo mengi yasiyoendelezwa Â
Serikali imebaini kuwepo kwa maeneo mengi ambayo wamiliki wake wameshindwa kuyaendeleza hali ambayo imesababisha migogoro ya mara kwa mara baina yao na wananchi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia Januari mwakani, Serikali itakagua mashamba yote yaliyoshindwa kuendelezwa, yasiyolipiwa kodi na yaliyowekwa dhamana ama bondi na kuyarudisha serikalini.
Amedai hatua hiyo itafanyika kwa umakini mkubwa kutokana na Serikali kutambua kuwa ardhi ni uchumi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLrtm7qmA4t7bkdcwjV2wcGdV9HZLmA31jpWjpJwmgQLpDj1m40JAY7UCudBcdSm3VdcOYxteYHDjAmdrpLIw2Nt/UTABIRI.jpg)
TAHADHARI YA KUWEPO MVUA KUBWA MAENEO YA PWANI YA NCHI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP48bEe7j6PAQDTsf4wd*yfSQ7tecCM70I2W7Rve5aMlVcMo*Q-6E73BpXPiVU-MaOSh71Kzxhrpcw-ot-2fYukg/mvua.jpg?width=650)
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Wawekwa kiporo maeneo mengi
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Umeme wakatika maeneo mengi nchini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCs0qM3i91EH3PeCMRWq3dVvqPOQ9VaXHEz-7OuiVe*8RqFD-2RDv1vjoLRP-Cbi-uQX2zaBtTo6pZIYMO253n-w/Diamond.jpg)
DIAMOND AVUNJA REKODI MAENEO MENGI
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Mtandao wa vibaka na uhalifu wajiimarisha maeneo mengi
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Serikali yabaini kilogram 6,428.12 za dawa za kulevya mwaka 2013
Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi ya Makosa ya Jinai na Vinasaba kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bi.Gloria Omari akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo pichani) kuhusu Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013 nchini ambapo amesema jumla ya majalada 208 yalipokelewa na kufanyiwa uchunguzi, wakati wa mkutano jana Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkuu wa kitengo cha Sayansi ya Makosa ya Jinai Kemia kutoka Ofisi ya Mkemia...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Serikali yakiri kuwepo mgogoro ranchi ya Kalambo
SERIKALI imekiri kuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji cha Katapulo na ranchi ya Kalambo, mkoani Rukwa. Hata hivyo, imesema iko katika mchakato wa kuhakikisha inamaliza migogoro hiyo hata...