Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme wakatika maeneo mengi nchini

Baadhi ya maeneo nchini yalikosa umeme kwa siku nzima ya jana, kitendo kilichotafsiriwa na wengi kwamba ni hujuma ili kuwafanya wasione mjadala wa kashfa ya IPTL uliokuwa ukiendelea bungeni Dodoma jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo

                     Hii ndio breaker liyoungua na kusabibisha maeneo ya mjini Ubguja kukosa umeme leo


 Mafundi kutoka ZECO wakiwa katika harakati za kutengeneza panel iliyoleta hitilafu za umeme na kupelekea maeneo yote ya mji wa Unguja kukosa umeme


Baada ya kukamilika kwa matengenezo


Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...

 

10 years ago

Mwananchi

Wawekwa kiporo maeneo mengi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa jana ulilazimika kuahirishwa katika baadhi ya maeneo nchini, kutokana ama na kukosewa kwa majina ya wagombea, baadhi yao kuwekewa nembo za vyama wasivyotoka au uhaba wa vifaa vya kupigia kura.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AVUNJA REKODI MAENEO MENGI

WIKI iliyopita katika simulizi hii ya Diamond  tuliishia pale ambapo staa huyo aliongelea namna wimbo wake wa Mbagala ulivyopendwa kiasi cha kumfanya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ‘JK’ kumteua kuwa mburudishaji kwenye ziara za kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, mwaka 2010.Wiki hii tunaendelea… Mkali wa Bongo fleva Nasib Abdul Diamond Platinumz. Oktoba 2, mwaka 2010, Diamond...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtandao wa vibaka na uhalifu wajiimarisha maeneo mengi

Pamoja na kuendelea kuvutia misururu ya watu wanaoingia katika Jiji la Dar es Salaam kila kukicha, maeneo yake mengi yamebainika kuwa si salama.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yabaini kuwepo maeneo mengi yasiyoendelezwa  

 

Serikali imebaini kuwepo kwa maeneo mengi ambayo wamiliki wake wameshindwa kuyaendeleza hali ambayo imesababisha migogoro ya mara kwa mara baina yao na wananchi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia Januari mwakani, Serikali itakagua mashamba yote yaliyoshindwa kuendelezwa, yasiyolipiwa kodi na yaliyowekwa dhamana ama bondi na kuyarudisha serikalini.

Amedai hatua hiyo itafanyika kwa umakini mkubwa kutokana na Serikali kutambua kuwa ardhi ni uchumi...

 

5 years ago

Michuzi

UMEME MDOGO KWA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR,CHANZO NI ONGEZEKO LA WATUMIAJI NA UJENZI HOLELA

Na Issa Mzee Maelezo Zanzibar      12/03/2020.Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk amesema kuwepo kwa tatizo la umeme mdogo katika baadhi ya maeneo ya mji wa Zanzibar yanatokana na ongezeko la watumiaji pamoja na ujenzi holela. Ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake huko Gulioni Mjini Unguja kuhusiana na mafanikio na changamoto zinazoikabili shirika hilo.Amesema Shirika hilo linachukua jitihada ya kufunga mashine kubwa (transfoma) katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tutafakari sababu za kuanzishwa makanisa mengi nchini

HIVI karibuni rafiki yangu Mwislamu, ambaye hakutaka jina lake litajwe hapa, lakini  kesho na keshokutwa nitalitaja, aliniuliza swali: “Una maoni gani juu ya makanisa haya yanayochipuka kila kukicha hapa nchini?”...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutenga maeneo ya wafugaji nchini

Kutokana na kushamiri kwa migogoro kati ya wakulima na wafugaji Serikali imetenga hekta 1,349,132.50 kwa ajili ya wafugaji katika vijiji 543 vilivyopo katika wilaya 75 zilizopo katika mikoa 21 nchini.

 

11 years ago

Dewji Blog

“Mpaka sasa maandamano mengi yamefanyika hapa nchini”- SACP Simon Sirro

DSC_0340

Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini (SACP) Simon Sirro akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa makamanda wa Jeshi hilo nchini, mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na UNDP yana lengo la kuwajengea uwezo makamanda jinsi ya kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani bila kuleta madhara makubwa kwa jamii. Kushoto ni Mtaalamu wa Uchaguzi kutoka UNDP, William Hogan  na kulia ni wakufunzi kutoka Uingereza, Adrian Barnes (kulia) na Alan Binks (wa pili kulia).

Na Mwandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani