Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo

Hii ndio breaker liyoungua na kusabibisha maeneo ya mjini Ubguja kukosa umeme leo


Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziUMEME MDOGO KWA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA ZANZIBAR,CHANZO NI ONGEZEKO LA WATUMIAJI NA UJENZI HOLELA
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Fundi afa kwa shoti ya umeme
FUNDI magari, Mohamed Athuman (52), mkazi wa maeneo ya Wandengereko, Mtoni-Mtongani, Dar es Salaam, amefariki dunia juzi kutokana na hitilafu ya umeme katika waya wa chaji ya simu. Kamanda wa...
10 years ago
Vijimambo16 Sep
Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.
Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...
10 years ago
GPL
PERAMIHO: USHURU WA MAZAO, KUKOSEKANA KWA MAWASILIANO YA SIMU, MAJI NA UMEME VYAWATESA WANANCHI
11 years ago
Dewji Blog31 Aug
TANESCO yawatesa wananchi wa Mwanagati Kitunda kwa kukosekana umeme siku tatu mfululizo
Na Mwandishi wetu
Kwa habari tulizozipokea hivi punde toka kwa wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam zinasemekana kwamba wananchi wa maeneo haya hawana umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na mchana mpaka sasa na hakuna taarifa zozote toka shirika la umeme Tanesco kuelezea hali hii inayoendelea mpaka sasa.
Wananchi mbalimbali wakielezea, walisema hawakupata taarifa yoyote ile toka Tanesco na mpaka sasa wengi wao wamepata hasara kubwa kibiashara kutokana na tatizo ili na upande...
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Umeme wakatika maeneo mengi nchini
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
10 years ago
VijimamboBAADHI YA MAENEO MENGINE YALIKUMBWA NA MAFURIKO HUKO ZANZIBAR BAADA YA MVUA YA MASAA MANANE MFULULIZO
Posta ya Kijangwani hakuna alietuma wa kupokea barua, ni kizaizai tu
Hii inanikumbusa sunami iliyotokea Indonesia ilikushanya marundo ya mataka kama hivi
Kiwanja cha kufurahishia watoto kikiwa kimejaa maji kote, Marry Go Round ikiwa...
9 years ago
StarTV12 Nov
Tanesco yasema kukatika kwa umeme kwa baadhi ya mikoa yatokana na hitilafu.
Shirika la umeme tanesco lamesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya mikoa nchini kumesababishwa na hitilafu katika kituo kidogo cha kupoozea umeme wa gridi ya taifa kilichoko mkoani singida
Meneja wa tanseco mkoa wa singida gamba mahugila amesema hitilafu hiyo imetokea leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme katika mikoa ya singida, tabora, mwanza, mara, manyara, geita na sehemu ya mkoa wa arusha
Amesema tayari mafundi wa tanesco wanaendelea na matengenezo yaliyoanza saa tano asubuhi...