Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADHI YA MAENEO MENGINE YALIKUMBWA NA MAFURIKO HUKO ZANZIBAR BAADA YA MVUA YA MASAA MANANE MFULULIZO

Mandhari ya maeneo yaloathirika na mafuriko nje ya mji wa zanzibar
Nje ya uwanja wa ndege wa Zanzibar hali ilivyokuwa na mvua ndogo ndogo zikiwa zinaendeleaHii ndio hali halisi baada ya mvua kali ilinyesha kwa masaa manane na baadae mvua ndogo ndogo kuendelea
 
Posta ya Kijangwani hakuna alietuma wa kupokea barua, ni kizaizai tu


Hii inanikumbusa sunami iliyotokea Indonesia ilikushanya marundo ya mataka kama hivi



Kiwanja cha kufurahishia watoto kikiwa kimejaa maji kote, Marry Go Round ikiwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Baadhi ya maeneo Dar yakumbwa na mafuriko.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar Es Salaam.

 

Watu wawili wamefariki katika meeneo ya Sinza na Mwananyamala jijini Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji yaliyotokana na mafuriko.

 

Taarifa ya vifo hivyo imethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni Kinondoni kamishina msaidizi wa Polisi Camilius Wambura.

 

Maeneo yaliyoathiriwa zaidi na Mvua hiyo ni yale ya Wakazi waliojenga nyumba zao maeneo ya Mabondeni ikiwamo kati kati ya Jiji...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASAFIRI KWA MASAA 14 KWENYE ZIWA VICTORIA KWENDA KISIWANI IRUGWA NA KUTUMIA MASAA MANNE MENGINE KWENDA KISIWA CHA UKARA KISI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya IrungwaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani