Baadhi ya maeneo Dar yakumbwa na mafuriko.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar Es Salaam.
Watu wawili wamefariki katika meeneo ya Sinza na Mwananyamala jijini Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji yaliyotokana na mafuriko.
Taarifa ya vifo hivyo imethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni Kinondoni kamishina msaidizi wa Polisi Camilius Wambura.
Maeneo yaliyoathiriwa zaidi na Mvua hiyo ni yale ya Wakazi waliojenga nyumba zao maeneo ya Mabondeni ikiwamo kati kati ya Jiji...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL10 years ago
VijimamboBAADHI YA MAENEO MENGINE YALIKUMBWA NA MAFURIKO HUKO ZANZIBAR BAADA YA MVUA YA MASAA MANANE MFULULIZO
Nje ya uwanja wa ndege wa Zanzibar hali ilivyokuwa na mvua ndogo ndogo zikiwa zinaendeleaHii ndio hali halisi baada ya mvua kali ilinyesha kwa masaa manane na baadae mvua ndogo ndogo kuendelea
Posta ya Kijangwani hakuna alietuma wa kupokea barua, ni kizaizai tu
Hii inanikumbusa sunami iliyotokea Indonesia ilikushanya marundo ya mataka kama hivi
Kiwanja cha kufurahishia watoto kikiwa kimejaa maji kote, Marry Go Round ikiwa...
10 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboRais Kikwete azuru Maeneo ya Mafuriko Dar-Ajionea Uharibifu
10 years ago
Mwananchi27 Jul
BVR yaonyesha unafuu baadhi ya maeneo
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Baadhi ya maeneo jijini D’Salaam kukosa maji
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz)
Ukiniambia nitaje sehemu zangu tatu ambazo huwa nazizimia Tanzania Mwanza ipo kwenye hiyo list yangu mtu wangu, wakati siku ya kwanza ya mwaka 2016 inaelekea kuisha naomba nikupitishe kwenye baadhi ya mitaa ya Mwanza leo kwenye muonekano wake… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, […]
The post Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz) appeared first on...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Oct
MATOKEO YA AWALI YA BAADHI YA MAENEO ZAIDI TUTAJILISHANA BAADAYE INSHAALLAH
Assalaam alaykum wapenzi wadau wa Ukumbi huu, haya ni matokeo ya Awali yaliyopatikana katika baadhi ya vituo, kadri yanavyopatikana tutapeana hasa hasa baada ya kupata majumuisho, in shaa Allah, tuzidisheni duaa, kila mwenye nia mbaya Allah […]
The post MATOKEO YA AWALI YA BAADHI YA MAENEO ZAIDI TUTAJILISHANA BAADAYE INSHAALLAH appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPL