Rais Kikwete azuru Maeneo ya Mafuriko Dar-Ajionea Uharibifu
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar es Salaam na kuwapa pole wakazi wa maeneo hayo..Maeneo Aliyotembelea Rais leo ni Mbagala Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea uharibifu uliofanywa na mvua zinazoendelea kunyesha.Pichani Rais Kikwete akiangalia Darala la Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha wanazozipata
Rais...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 May
JK ajionea adha ya mafuriko Dar
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete jana alitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam ambayo yameathirika na mafuriko kutokana na mvua inayoendelea kunyesha.
Ziara hiyo ilianzia katika daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi katika Wilaya ya Temeke na kumalizia katika Daraja la Jangwani katika Wilaya ya Ilala.
Rais Kikwete baada ya kuona daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi, alitoa agizo kwa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kuweka...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AJIONEA UHARIBIFU MKUBWA WA MABOMBA JANGWANI
Mabomba hayo ya inchi 16 yenye urefu wa mita 12 yamezolewa na maji kutokana na athari iliyoletwa na mvua kubwa ya mwishoni mwa wiki inayoendelea jijini Dar es Salaam.
“Ni athari kubwa ambayo imesababishwa na mvua hii na mpaka kukata mabomba ya maji, ni muda mrefu tangu mvua ya aina huu kutokea Dar es Salaam”, alisema ...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-z2nPMyaX8aI/Xnjw7uKoHkI/AAAAAAACJL4/44iJBUrgyW4GdtiBqPcw3IcRihAVhyaXgCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-23-18-21-15.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI AZURU MAENEO YENYE MAWE NDANI YA IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-z2nPMyaX8aI/Xnjw7uKoHkI/AAAAAAACJL4/44iJBUrgyW4GdtiBqPcw3IcRihAVhyaXgCLcBGAsYHQ/s400/PHOTO-2020-03-23-18-21-15.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZoSMnM9chwQ/Xnjw_0yqKsI/AAAAAAACJL8/PDjWWQUlHIIXUUSnun2aPXnVXntrLNssQCLcBGAsYHQ/s400/PHOTO-2020-03-23-18-21-22%2B%25281%2529.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-TSTQTJ3o1wI/XnjxC2n3CnI/AAAAAAACJMA/aWPpRN97YkMkNk-K7vRuvQEXxch99thHwCLcBGAsYHQ/s400/PHOTO-2020-03-23-18-21-13.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-IVl9h-Xb8ko/XnjxFlsp63I/AAAAAAACJME/29H8UPia5YUG3tWT2od9ur3JudagdZrIQCLcBGAsYHQ/s400/PHOTO-2020-03-23-18-21-17.jpg)
10 years ago
MichuziRais Kikwete akagua waathirika wa Mafuriko Buguruni jijini dar leo
10 years ago
StarTV30 Dec
Baadhi ya maeneo Dar yakumbwa na mafuriko.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar Es Salaam.
Watu wawili wamefariki katika meeneo ya Sinza na Mwananyamala jijini Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji yaliyotokana na mafuriko.
Taarifa ya vifo hivyo imethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni Kinondoni kamishina msaidizi wa Polisi Camilius Wambura.
Maeneo yaliyoathiriwa zaidi na Mvua hiyo ni yale ya Wakazi waliojenga nyumba zao maeneo ya Mabondeni ikiwamo kati kati ya Jiji...
9 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-jB9FWRS1DJQ/VhJSPk0tQmI/AAAAAAAH9AE/wyJqhp2ZyQ8/s640/ke1.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA