Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ajionea adha ya mafuriko Dar

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Jakaya Kikwete jana alitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam ambayo yameathirika na mafuriko kutokana na mvua inayoendelea kunyesha.

Ziara hiyo ilianzia katika daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi katika Wilaya ya Temeke na kumalizia katika Daraja la Jangwani katika Wilaya ya Ilala.

Rais Kikwete baada ya kuona daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi, alitoa agizo kwa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kuweka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete azuru Maeneo ya Mafuriko Dar-Ajionea Uharibifu

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar es Salaam na kuwapa pole wakazi wa maeneo hayo..Maeneo Aliyotembelea Rais leo ni Mbagala Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea uharibifu uliofanywa na mvua zinazoendelea kunyesha.Pichani Rais Kikwete akiangalia Darala la Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha wanazozipataRais...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA MSAADA WA MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 476 KWAAJILI YA KUEZEKA NYUMBA 1,000 ZA WAJANE WALIOKUMBWA NA ADHA YA MAFURIKO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa msaada wa Mabati yenye Thamani ya shilingi Milioni 476 kwaajili ya Kuezeka Nyumba 1,000 za Wajane mkoani humo ambao nyumba zao zimeathiriwa na mafuriko yanayotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha ambapo amewataka Wananchi waliojenga mabondeni kuondoka.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua  na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya...

 

5 years ago

Michuzi

WALAZIMIKA KUHAMA MAKAZI YAO KUKWEPA ADHA YA MAFURIKO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti nchini zimeendelea kuleta  madhara,ambapo  Wilayani Kilombero Wakazi wa Kijiji Cha Nyange Kichangini kitongiji Cha Msolwa Stesheni  wameladhimika kuyahama makazi yao  kutokana  na mafuriko



 

11 years ago

GPL

ADHA YA MVUA JIJINI DAR

Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi zilizopo Kongowe, Mbagala wilayani Temeke jijini Dar wakijaribu kuvuka katika maji yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO KAMA ILI TUTUMIE KUPITIA NAMBA…

 

10 years ago

Michuzi

ADHA YA USAFIRI JIJINI DAR

 Abiria katika moja ya Daladala linalofanya safari zake kati ya Mbezi - Posta wakigombea kuingia kwenye gari hilo kupitia mlango wa Dereva,baada ya Kondakta wa Basi hilo kutofungua mlango kutokana na uwingi wa abiria hao.tukio hili limetokea jioni hii katika kituo cha Daladala cha Posta Mpya,jijini Dar es Salaam. Mara Dereva akashukia mlango wa abiria na kuja kuwazuia abiria kupanda basi hilo kupitia mlango wake,hapo napo ilikuwa mbinde ile mbaya. Mara akafanikiwa kuwadhibiti na kuwataka...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Habarileo

Sh bil 7 kukabili adha ya maji Dar

SERIKALI imetenga Sh bilioni saba katika mwaka wa fedha 2014/15, kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi ili kupisha mradi wa Bwawa la Kidunda, litakalotumika kukabili adha ya maji jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

ADHA YA MVUA INAVYOWATESA WAKAZI WA JIJINI DAR

Bodaboda wakiwa kwenye foleni kusubiri abiria. Magari yakiwa ‘yameshonana’ kwenye foleni.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani