ADHA YA USAFIRI JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-54txhL4gdkE/VJgVduJQCmI/AAAAAAAG5Cs/XPMzDhLkw4Q/s72-c/DSC_0214.jpg)
Abiria katika moja ya Daladala linalofanya safari zake kati ya Mbezi - Posta wakigombea kuingia kwenye gari hilo kupitia mlango wa Dereva,baada ya Kondakta wa Basi hilo kutofungua mlango kutokana na uwingi wa abiria hao.tukio hili limetokea jioni hii katika kituo cha Daladala cha Posta Mpya,jijini Dar es Salaam.
Mara Dereva akashukia mlango wa abiria na kuja kuwazuia abiria kupanda basi hilo kupitia mlango wake,hapo napo ilikuwa mbinde ile mbaya.
Mara akafanikiwa kuwadhibiti na kuwataka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbIbAMKiuqkS9YsOOPEmv9Pw9yiOkjd0VQ5Bv9QE2cHcskSX5ALrDm0Vmcj5UTKTwHRv*gLQLoTih5WjeCQgXkpK/IMG20140508WA0001.jpg?width=650)
ADHA YA MVUA JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi06 Jan
11 years ago
GPLADHA YA MVUA INAVYOWATESA WAKAZI WA JIJINI DAR
9 years ago
Raia Tanzania31 Aug
Adha ya usafiri kwa wanafunzi na mustakabali wetu
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Adha ya usafiri mkoani Simiyu inavyotesa wananchi Ngorongoro
11 years ago
Michuzinews alert: ankal anunua ndege kuondokana na adha ya foleni jijini dar es salaam
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xskr19HQTjM/VUsZOF2FyPI/AAAAAAAHV1M/Kd6BPG55L48/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
usafiri wa pantoni jijini Dar es salaam leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-xskr19HQTjM/VUsZOF2FyPI/AAAAAAAHV1M/Kd6BPG55L48/s640/unnamed%2B(61).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HCqO0eanTWY/VUsZOR1-q0I/AAAAAAAHV1Q/l8-w4_ex220/s640/unnamed%2B(62).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-B2s5R9GCCvM/VUsZN22FoEI/AAAAAAAHV1I/OGiYUW9Az7Y/s640/unnamed%2B(67).jpg)
11 years ago
Michuzi01 May
DK.MAGUFULI ALIVYOREJESHA HUDUMA ZA USAFIRI WA BARABARA ZILIZOJIFUNGA JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Maadhimsho ya wiki ya usafiri wa anga duniani yanayoendelea jijini Dar
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir (kushoto) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles Chacha na mjumbe wa Bodi wa TCAA Yussuf Mohammed Ali wakimsikilza kwa makini Meneja Mipango na Tathimini wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) mhandisi Mbila Mdemu wakati walipotembelea banda la TAA lililopo kwenye maonyesho ya wiki ya usafiri wa anga Duniani yanayofanyika kwenye viwanja vya Makao...