Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


usafiri wa pantoni jijini Dar es salaam leo

 Sehemu ya abiria wakisubiri kuvuka kwa pantoni kutokea Kigamboni jijini Dar es salaam. Ni dhahiri idadi ya wakaazi katika eneo hilo la Kigamboni wanaongezeka siku hadi siku na juhudi za serikali kushirikiana na mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF kujenga daraja kupunguza tatizo la msongamano limekuja kwa wakati muafaka vinginevyo hali isingekuwa nzuri siku za usoni. Umati ukisubiri waliowasili kushuka kabla ya wao kuingia kwenye pantoni leo asubuhi

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ajali lugalo jijini DAr es salaam leo

 Ajali hii imetokea leo jirani na shule ya sekondari ya Mkongo jijini Dar es salaam

 

10 years ago

Michuzi

Taswira ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

 Taswira ya kituo cha Simu 2000 Ubungo jijini Dar es Salaam leo baada ya mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria.Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. Barabara ya Sam Nujoma eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Licha ya mgomo wa madareva Miundombinu ya maji machafu hakuna katika kituo cha Mabasi Yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.Hakuna kukanyaga maji ni kuruka mawe tuu. Mabasi yakiwa yameegeshwa katika Stendi kuu ya Mabasi yaendayo mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Uhaba wa usafiri wahatarisha usalama wa Abiria, kama walivyonaswa na kamera ya mtaa kwa mtaa leo   jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii).

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya  ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto)...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKWETE AHUTUBIA WAZEE LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Saidi Mecki Sadiki akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo alimpa taarifa Mheshimiwa Rais juu ya mafanikio ya ujenzi wa maabara katika Shule za Sekondari mjini Dar es Salaam pamoja na matokeo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa.(Picha na Adam Mzee)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wazee wa...

 

10 years ago

GPL

MARAIS WA NCHI 6 ZA AFRIKA KUKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Marais wa nchi sita za Afrika watakuwa na mkutano mkubwa leo Jijini Dar es Salaam ncini Tanzania ambapo watajadili kwa kina juu ya kuboresha uwekezaji katika kanda ya Maziwa Makuu. Marais hao ni Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Pierre Nkurunziza wa Burundi, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenyeji wao wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete. Mkutano huo wa siku mbili...

 

10 years ago

Michuzi

AJALI YA ROLI SINZA MORI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Ajali ya roli imetokea Sinza Mori mida hii baada ya roli hilo kuchomoka tairi ya nyuma lakini hakuna mtu aliyepata madhara katika ajari hiyo pamoja na tairi kwenda mbali zaidi na eneo la tukio, hata hivyo dereva wa roli hilo amesema alikuwa anaenda kubadilisha ekseli iliyochomoka.Roli lenye namba za usajili T 245 DEZ  limechomoka taili ya nyuma maeneo la Sinza Mori leo barabara ya Shekilango jijini Dar es Salaam..  Roli likiwa barabarani ya Shekilango barabara ya Shekilango jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani