AJALI YA ROLI SINZA MORI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Ajali ya roli imetokea Sinza Mori mida hii baada ya roli hilo kuchomoka tairi ya nyuma lakini hakuna mtu aliyepata madhara katika ajari hiyo pamoja na tairi kwenda mbali zaidi na eneo la tukio, hata hivyo dereva wa roli hilo amesema alikuwa anaenda kubadilisha ekseli iliyochomoka.
Roli lenye namba za usajili T 245 DEZ limechomoka taili ya nyuma maeneo la Sinza Mori leo barabara ya Shekilango jijini Dar es Salaam..
Roli likiwa barabarani ya Shekilango barabara ya Shekilango jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
AJALI YA ROLI KUGONGA TRENI ENEO LA KARUME JIJINI DAR LEO ASUBUHI

9 years ago
Michuzi
11 years ago
GPLWAWILI WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA SINZA-MORI
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi
ajali lugalo jijini DAr es salaam leo



9 years ago
Michuzi
newsflash Dr. Helen K. Bisimba amepata ajali jijini Dar es salaam leo


10 years ago
GPL
MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA SINZA-MORI, DAR
10 years ago
Michuzi.jpg)
ajali ya moto yasababisha maafa ukonga Kipunguni usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPLCLUB OLYMPIA YA SINZA-MORI YATEKETEA KWA MOTO