Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALAZIMIKA KUHAMA MAKAZI YAO KUKWEPA ADHA YA MAFURIKO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti nchini zimeendelea kuleta  madhara,ambapo  Wilayani Kilombero Wakazi wa Kijiji Cha Nyange Kichangini kitongiji Cha Msolwa Stesheni  wameladhimika kuyahama makazi yao  kutokana  na mafuriko



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

JK ajionea adha ya mafuriko Dar

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Jakaya Kikwete jana alitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam ambayo yameathirika na mafuriko kutokana na mvua inayoendelea kunyesha.

Ziara hiyo ilianzia katika daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi katika Wilaya ya Temeke na kumalizia katika Daraja la Jangwani katika Wilaya ya Ilala.

Rais Kikwete baada ya kuona daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi, alitoa agizo kwa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kuweka...

 

10 years ago

Bongo5

Weusi kuuza album yao mtandaoni kukwepa maharamia

Licha ya kukithiri kwa tatizo la wizi wa kazi za sanaa Tanzania, kundi la muziki la Weusi lina mpango wa kuuza album yao kwa njia ya watu kudownload mtandaoni. Msemaji wa kundi hilo, rapper Nikki Wa Pili amesema kuwa wanaamini kwamba hiyo ni njia itakayowapunguza nguvu maharamia wa kazi za wasanii. “Plan yetu ni kuweka […]

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuriko yaharibu kiwanda, makazi Moshi

NA RODRICK MUSHI, MOSHI
ZAIDI ya kaya 700 katika Kata ya Arusha Chini TPC, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, hazina makazi baada ya nyumba zao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha juzi.
Pamoja na madhara hayo kwa wananchi, pia mafuriko hayo yameharibu miundombinu ya Kiwanda cha Sukari cha TPC, taasisi mbalimbali pamoja na mashamba ya mazao ya chakula.

Taarifa hiyo ilitolewa jana na Ofisa Mtendaji na Utawala wa Kiwanda cha TPC, Jaffari Ally, alipokuwa akitoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuriko yakosesha makazi watu 7,000

TAKRIBAN wakazi 7,000 wa kata tatu zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao  zinazokadiriwa kufikia 2,500 kusombwa na kumezwa na mafuriko. Mafuriko...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahanga wa mafuriko Dumila wakosa makazi

WAHANGA wa mafuriko katika maeneo ya Dumila, mkoani Morogoro wanakabiliwa na hali ngumu ya ukosefu wa makazi  baada ya nyumba zao za muda (mahema) kuezuliwa na kimbunga kilichoambatana na mvua....

 

10 years ago

Michuzi

MEYA MANISPAA KINONDONI ATEMBELEA MABONDENI, AWATAKA WATU KUHAMA KUOKOA MAISHA YAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa pili kushoto) akimsikiliza Naibu Meya, Songoro Mnyonge wakati akimpa maelezo kuhusu mazingira ya Mto Kiboko uliopo katika Kata ya Tandale wakati wa ziara yake katika Manispaa hiyo, Dar es Salaam jana.Mkazi wa Mtaa wa Bahi, Jomo Macha akimueleza Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda athari za mafuriko katika Mtaa huo, Kata ya Makumbusho wakati wa ziara ya Meya huyo jana. Wengine ni Watendaji wa Manispaa hiyo na wakazi wa eneo hilo.Meya...

 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wananchi wakosa makazi kutokana Mafuriko Mara

Mvua kubwa imenyesha mjini Bunda mkoani Mara na kusababisha mafuriko  yaliyoharibu mali za wananchi, chakula na samani za ndani.

Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa moja majira ya alasiri imesababisha hasara kubwa kwa wakazi  wa Mji huo, kwani baadhi ya wananchi wamekosa mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka.

Mvua hiyo imeleta hasara kubwa katika karibu mitaa yote ya Mji wa Bunda, ambapo katika mitaa ya Kabarimu, majengo, Nyasura na mbugani mafuriko hayo...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA MSAADA WA MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 476 KWAAJILI YA KUEZEKA NYUMBA 1,000 ZA WAJANE WALIOKUMBWA NA ADHA YA MAFURIKO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa msaada wa Mabati yenye Thamani ya shilingi Milioni 476 kwaajili ya Kuezeka Nyumba 1,000 za Wajane mkoani humo ambao nyumba zao zimeathiriwa na mafuriko yanayotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha ambapo amewataka Wananchi waliojenga mabondeni kuondoka.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua  na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Manzese wakabidhiwa Sh100 milioni kuboresha makazi yao

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akizungumza wakati wa kukabidhi hundi ya Sh100 milioni kwa wakazi wa Kata ya Manzese iliyotolewa na Benki ya Azania kupitia asasi ya Tanzania Financial Services for Underserved Settlement (TAFSUS), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi wa bodi ya asasi hiyo, John Ulanga. Picha na Jennifer SumiDar es Salaam. Wakazi wa Kata ya Manzese na Mtaa wa Mvuleni, jijini hapa wamepokea zaidi ya Sh100 milioni kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani