Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahanga wa mafuriko Dumila wakosa makazi

WAHANGA wa mafuriko katika maeneo ya Dumila, mkoani Morogoro wanakabiliwa na hali ngumu ya ukosefu wa makazi  baada ya nyumba zao za muda (mahema) kuezuliwa na kimbunga kilichoambatana na mvua....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wananchi wakosa makazi kutokana Mafuriko Mara

Mvua kubwa imenyesha mjini Bunda mkoani Mara na kusababisha mafuriko  yaliyoharibu mali za wananchi, chakula na samani za ndani.

Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa moja majira ya alasiri imesababisha hasara kubwa kwa wakazi  wa Mji huo, kwani baadhi ya wananchi wamekosa mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka.

Mvua hiyo imeleta hasara kubwa katika karibu mitaa yote ya Mji wa Bunda, ambapo katika mitaa ya Kabarimu, majengo, Nyasura na mbugani mafuriko hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Dumila ‘walilia’ makazi

Waathirika wa mafuriko eneo la Dumila mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuharakisha kuwapatia makazi ya kudumu ili waweze kuendelea na shughuli zao kama ilivyokuwa awali.

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba 13 zachomwa moto, 35 wakosa makazi

RPC, Valentino MlowolaWATU 35 wakazi wa kitongoji cha Iroba kisiwani Bwiro wilaya ya Ukerewe, Mwanza hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba zao 13 kuchomwa moto katika tukio linalohusishwa na imani za kishirikina.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakosa makazi baada ya mvua kubwa

Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali Kijiji cha Nyakiswa, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, imeezua na kubomoa zaidi ya nyumba 45 na kuharibu mashamba yenye mazao mbalimbali ya ukubwa wa zaidi ya ekari 1,200.

 

11 years ago

Mwananchi

JK aiponda ripoti ya mafuriko Dumila

Rais Jakaya Kikwete ameikataa taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kuhusu waathirika wa mafuriko na waliokosa makazi na kumpa siku moja kukaa na timu yake kuandaa nyingine inayoendana na hali halisi ya janga hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mikasa, vitimbi na shida mafuriko ya Magole-Dumila

>Kati ya watu wanaojutia mafuriko hayo ni mtoto  Mohamed Said, mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Magole, mkoani humo.

 

10 years ago

Michuzi

DAR YAFUNIKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, WANANCHI WAKOSA MAKAZI


 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.


MAFURIKO,Mafuriko,Mafuriko .! Jiji la Dar limejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha wengine kukosa makazi.


Maeneo yaliyokumbwa kwa mafuriko ni Mnyamani (Ilala),Bonde la Mpunga (Kinondoni) ,Kigogo (Kinondoni),Mikocheni ( Kinondoni),Vingunguti (Ilala) Tabata Kisiwani (Ilala)na Kurasini (Temeke) na maeneo mengine ambayo hayajawahi kupata mafuriko yamefika.


Mvua hizo zimeharibu miundombinu katika barabara ya Morogoro kwa kujaa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika

Mafuriko makubwa yametokea katika Kata ya Dumila, Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha mamia ya watu kupoteza makazi huku daraja la Mto Mkundi linaloziunganisha Wilaya za Kilosa na Mvomero likivunjika.

 

11 years ago

GPL

MAFURIKO DUMILA YAMUUMBUA MKE WA MTU AKISALITI NDOA GESTI

Jambo limezua jambo! Mvua zilizonyesha na kusababisha mafuriko maeneo ya Dumila mkoani hapa, zimemuumbua mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, akiwa anasaliti ndoa gesti.
Mafuriko hayo yalisababishwa na mvua kubwa zilizoanza kunyesha Jumatano iliyopita na kusababisha maafa makubwa yakiwamo kuharibiwa kwa makazi ya watu, majengo ya serikali zikiwamo shule, vyuo na mahakama. Shuhuda wa tukio hilo, Lugendo Seleman, mkazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani