Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAR YAFUNIKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, WANANCHI WAKOSA MAKAZI


 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.


MAFURIKO,Mafuriko,Mafuriko .! Jiji la Dar limejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha wengine kukosa makazi.


Maeneo yaliyokumbwa kwa mafuriko ni Mnyamani (Ilala),Bonde la Mpunga (Kinondoni) ,Kigogo (Kinondoni),Mikocheni ( Kinondoni),Vingunguti (Ilala) Tabata Kisiwani (Ilala)na Kurasini (Temeke) na maeneo mengine ambayo hayajawahi kupata mafuriko yamefika.


Mvua hizo zimeharibu miundombinu katika barabara ya Morogoro kwa kujaa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi hapa jijini Dar,kutoka na Mvua zinazoendelea kushesha.Kwa Mujibu wa Mamlaka ya Hali ya hewa nchini,inaeleza kwamba Vipindi vya mvua hii inayozidi milimeta 50 ndani ya masaa 24 itaendelea kuwepo katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani wa nchi ikihusisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam pamoja na kisiwa cha Unguja,hiyo ni kutokana na kuwepo na kuimarika kwa ukanda wa mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ) katika maeneo hayo.

 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wananchi wakosa makazi kutokana Mafuriko Mara

Mvua kubwa imenyesha mjini Bunda mkoani Mara na kusababisha mafuriko  yaliyoharibu mali za wananchi, chakula na samani za ndani.

Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa moja majira ya alasiri imesababisha hasara kubwa kwa wakazi  wa Mji huo, kwani baadhi ya wananchi wamekosa mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka.

Mvua hiyo imeleta hasara kubwa katika karibu mitaa yote ya Mji wa Bunda, ambapo katika mitaa ya Kabarimu, majengo, Nyasura na mbugani mafuriko hayo...

 

10 years ago

GPL

ATAHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI

Eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo lilivyokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha. Maji yakitapakaa eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo hivyo kusababisha usafiri na biashara ndogondogo kusitishwa kwa mda. Gari likiwa limesombwa na mafuriko.…

 

5 years ago

Michuzi

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAENDELEA KULETA ATHARI

Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta athari mbalimbali ikiwemo kuvunja Daraja la Barabara ya Mtoni katika eneo la Vibandani ambalo limevunjika mapema ya Leo March 9 Majira ya Asubuhi.

 

9 years ago

Vijimambo

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DMV ZAANZA KULETA MADHARA

Mvua zinazoendelea kunyesha siku ya pili mfululizo DMV zimeanza kuleta madhara kama unaovyo kwenye picha gari dogo aina ya Nissan ikiwa imeangukiwa na mti lilipokua limeegeshwa katika barabara ya 23 NW Washington, DC. Picha na Eliud Mbowe

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: UPOTOSHWAJI WA TAHADHARI YA HALI YA HEWA KUHUSIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini inapenda kukanusha kuhusiana na taarifa ya ujumbe mfupi wa simu na katika mitandao ya kijamii wenye maneno yafuatayo : ‘TMA warning heavy rains of strong easterly winds 100km an hour expected to hit Dar coast from Somalia, Heavy rains 120mm above sea level expected today and tommorrow. People must avoid Sea and areas near to Sea should be alert cautioned. Tanzania Meteorological Agency  www.tma.gov.tz’   
Mamlaka inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani