TASWIRA ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi hapa jijini Dar,kutoka na Mvua zinazoendelea kushesha.Kwa Mujibu wa Mamlaka ya Hali ya hewa nchini,inaeleza kwamba Vipindi vya mvua hii inayozidi milimeta 50 ndani ya masaa 24 itaendelea kuwepo katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani wa nchi ikihusisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam pamoja na kisiwa cha Unguja,hiyo ni kutokana na kuwepo na kuimarika kwa ukanda wa mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ) katika maeneo hayo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
HALI ILIVYO ENEO LA JANGWANI BAADA YA MVUA KUNYESHA JIJINI DAR
10 years ago
GPL
KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani
Asubuhi ya December 15 jijini Dar Es Salaam ilinyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali kiasi hata kupelekea baadhi ya watu, kushindwa na wengine kuchelewa kwenda kazini kutokana na mvua kuwa kubwa. Mtu wangu wa nguvu baada ya mvua kukata ilibidi nitembelee mitaa tofauti tofauti ya Jiji la Dar Es Salaam ili kuona hali ya maeneo […]
The post Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Michuzi
DAR YAFUNIKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, WANANCHI WAKOSA MAKAZI

MAFURIKO,Mafuriko,Mafuriko .! Jiji la Dar limejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha wengine kukosa makazi.
Maeneo yaliyokumbwa kwa mafuriko ni Mnyamani (Ilala),Bonde la Mpunga (Kinondoni) ,Kigogo (Kinondoni),Mikocheni ( Kinondoni),Vingunguti (Ilala) Tabata Kisiwani (Ilala)na Kurasini (Temeke) na maeneo mengine ambayo hayajawahi kupata mafuriko yamefika.
Mvua hizo zimeharibu miundombinu katika barabara ya Morogoro kwa kujaa...
11 years ago
GPL13 Apr
11 years ago
Michuzi
JUST IN: UPOTOSHWAJI WA TAHADHARI YA HALI YA HEWA KUHUSIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Mamlaka inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa hiyo...
11 years ago
Michuzi
TASWIRA MWANANA ZA MATUMIZI YA BARABARA BAADA YA KUNYESHA KWA MVUA JIJINI DAR



10 years ago
Michuzi
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO JIJINI MBEYA LEO KUTOKANA NA MGOMO WA MADEREVA UNAOENDELEA NCHI NZIMA


10 years ago
GPL
ATAHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI