Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani

Asubuhi ya December 15 jijini Dar Es Salaam ilinyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali kiasi hata kupelekea baadhi ya watu, kushindwa na wengine kuchelewa kwenda kazini kutokana na mvua kuwa kubwa. Mtu wangu wa nguvu baada ya mvua kukata ilibidi nitembelee mitaa tofauti tofauti ya Jiji la Dar Es Salaam ili kuona hali ya maeneo […]

The post Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HALI ILIVYO ENEO LA JANGWANI BAADA YA MVUA KUNYESHA JIJINI DAR

Hivi ndivyo maji yanavyo onekana kujaa katika makazi Jangwani Baadhi ya watu wakionekana nje baada ya maji kuingia ndani .…

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi hapa jijini Dar,kutoka na Mvua zinazoendelea kushesha.Kwa Mujibu wa Mamlaka ya Hali ya hewa nchini,inaeleza kwamba Vipindi vya mvua hii inayozidi milimeta 50 ndani ya masaa 24 itaendelea kuwepo katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani wa nchi ikihusisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam pamoja na kisiwa cha Unguja,hiyo ni kutokana na kuwepo na kuimarika kwa ukanda wa mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ) katika maeneo hayo.

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI HALISI ILIVYO VIJIJI VYA MAGOWE NA MATETENI MJINI MOROGORO BAADA YA MAFURIKO MAKUBWA

Team nzima ya Tanzania Redcross wakiwa katika picha ya pamoja mjini Morogoro katika maeneo ya Magowe na Mateteni ambayo yaliyoathirika na mafuriko makubwa hadi leo hii watanzania zaidi ya 500 wanaishi kwenye mahema. Kijana wa TRCS kutoka Mzizima Redcross branch ndugu Sute Samson Mtumbati akitoa elimu kwa wananchi juu ya kupambana na mazingira magumu wanayokutana nayo. Hili ni tank la maji safi ambalo uhudumia watu zaidi ya mia tano (500) ambalo halimalizi masaa 3 yanakwisha na...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO JIJINI MBEYA LEO KUTOKANA NA MGOMO WA MADEREVA UNAOENDELEA NCHI NZIMA

Madereva wengi nchini wamefanya mgomo wa vyombo vya usafiri, tangu jana asubuhi mpaka leo ambapo bado haijajulikana hatma ya mgomo huo, wakazi wa jiji la mbeya wajikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na adha ya usafiri kutokana na vyombo hivyo kuweka mgomo, wasafiri wa mikoa na wilaya mbali mbali bado wapo katika hali ngumu sambamba na wanafunzi wasomao mbali kidogo na mji wa jiji la Mbeya.picha zote na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.Sehemu wa Madereva wa Mabasi jijini Mbeya...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA DARAJA LINALOUNGANISHA ENEO LA TANDALE NA MWANANYAMALA JIJINI DAR

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika hili ni Daraja lilalounganisha eneo la Tandale na Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambapo wananchi wanaokaa maeneo ya jirani na Daraja hilo waliamua kukusanya viroba vilivyosheheni taka ngumu na kuwevilundika kwenye kingo za Daraja hilo ili kudhibiti maji yasiendelee kuchimba njia hiyo. Hali hii imekuja kutokana na mafuriko ya maji yaliyotokea hivi karibuni katika maeneo mengi hapa jijini kutokana na Mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha.
Hali ilivyo katika...

 

10 years ago

GPL

KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO

Maji yakiwa yamejaa katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo. Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, maeneo…

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz)

Bado hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inazidi kushika kasi kila kukicha, baada ya mchana wa January 6 kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi A lenye timu za URA, JKU, Jamuhuri na Simba, usiku wa January 6 ukapigwa mchezo wa nne wa kundi hilo kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda […]

The post Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani