Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALI ILIVYO ENEO LA JANGWANI BAADA YA MVUA KUNYESHA JIJINI DAR

Hivi ndivyo maji yanavyo onekana kujaa katika makazi Jangwani Baadhi ya watu wakionekana nje baada ya maji kuingia ndani .…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani

Asubuhi ya December 15 jijini Dar Es Salaam ilinyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali kiasi hata kupelekea baadhi ya watu, kushindwa na wengine kuchelewa kwenda kazini kutokana na mvua kuwa kubwa. Mtu wangu wa nguvu baada ya mvua kukata ilibidi nitembelee mitaa tofauti tofauti ya Jiji la Dar Es Salaam ili kuona hali ya maeneo […]

The post Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi hapa jijini Dar,kutoka na Mvua zinazoendelea kushesha.Kwa Mujibu wa Mamlaka ya Hali ya hewa nchini,inaeleza kwamba Vipindi vya mvua hii inayozidi milimeta 50 ndani ya masaa 24 itaendelea kuwepo katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani wa nchi ikihusisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam pamoja na kisiwa cha Unguja,hiyo ni kutokana na kuwepo na kuimarika kwa ukanda wa mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ) katika maeneo hayo.

 

10 years ago

GPL

HALI ILIVYOKUWA ENEO LA SINZA-AFRIKA SANA BAADA YA KUNYESHA MVUA KUBWA JANA

Wananchi wakivushwa na lori eneo la Sinza-Afrika lililojaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana. Magari yakipita kwa tabu eneo hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendea kunyesha. (Picha na Makongoro Oging /…

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA DARAJA LINALOUNGANISHA ENEO LA TANDALE NA MWANANYAMALA JIJINI DAR

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika hili ni Daraja lilalounganisha eneo la Tandale na Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambapo wananchi wanaokaa maeneo ya jirani na Daraja hilo waliamua kukusanya viroba vilivyosheheni taka ngumu na kuwevilundika kwenye kingo za Daraja hilo ili kudhibiti maji yasiendelee kuchimba njia hiyo. Hali hii imekuja kutokana na mafuriko ya maji yaliyotokea hivi karibuni katika maeneo mengi hapa jijini kutokana na Mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha.
Hali ilivyo katika...

 

10 years ago

GPL

KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO

Maji yakiwa yamejaa katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo. Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, maeneo…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MWANANA ZA MATUMIZI YA BARABARA BAADA YA KUNYESHA KWA MVUA JIJINI DAR

Kamera ya Mdau ilimnasa Dereva huyu wa Bodaboda akiwa na abiria wake,wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta balaa ndani ya jiji hili la Dar. Kama kawaida,sasa hivi mwendo ni kuning'iniza miguu juu tu.Picha kwa hisani ya K-Vis Blog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani