MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DMV ZAANZA KULETA MADHARA

Mvua zinazoendelea kunyesha siku ya pili mfululizo DMV zimeanza kuleta madhara kama unaovyo kwenye picha gari dogo aina ya Nissan ikiwa imeangukiwa na mti lilipokua limeegeshwa katika barabara ya 23 NW Washington, DC. Picha na Eliud Mbowe
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAENDELEA KULETA ATHARI


11 years ago
GPL13 Apr
10 years ago
GPL
ATAHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI
Eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo lilivyokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha. Maji yakitapakaa eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo hivyo kusababisha usafiri na biashara ndogondogo kusitishwa kwa mda. Gari likiwa limesombwa na mafuriko.…
11 years ago
Michuzi
JUST IN: UPOTOSHWAJI WA TAHADHARI YA HALI YA HEWA KUHUSIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Mamlaka inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa hiyo...
5 years ago
Michuzi
WAWILI WAFARIKI DUNIA ARUMERU KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
Na Woinde Shizza, ArushaWATU wawili wamefariki dunia kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha kwa siku tatu mfululizo katika wilaya ya Arumeru huku nyumba zaidi ya 50 kuharibika kutokana na mvua hizo.
Akitoa taarifa za hali ya mwendendo wa mvua hizo mara baada ya kufanya ziara na kushiriki shughuli za uokoaji, Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jery Muro amesema kuwa mvua hizo zimeleta madhara makubwa kwani zimesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefariki dunia leo Alhamisi April 23 Katika...
Akitoa taarifa za hali ya mwendendo wa mvua hizo mara baada ya kufanya ziara na kushiriki shughuli za uokoaji, Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jery Muro amesema kuwa mvua hizo zimeleta madhara makubwa kwani zimesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefariki dunia leo Alhamisi April 23 Katika...
5 years ago
Michuzi
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAHARIBU MAZAO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE

Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Ludewa Adrea Tsere amesema wilaya yake inaongoza kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mahindi katika mkoa wa Njombe ambapo...
10 years ago
MichuziTASWIRA ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA
10 years ago
Michuzi
DAR YAFUNIKWA NA MAJI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, WANANCHI WAKOSA MAKAZI

MAFURIKO,Mafuriko,Mafuriko .! Jiji la Dar limejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha wengine kukosa makazi.
Maeneo yaliyokumbwa kwa mafuriko ni Mnyamani (Ilala),Bonde la Mpunga (Kinondoni) ,Kigogo (Kinondoni),Mikocheni ( Kinondoni),Vingunguti (Ilala) Tabata Kisiwani (Ilala)na Kurasini (Temeke) na maeneo mengine ambayo hayajawahi kupata mafuriko yamefika.
Mvua hizo zimeharibu miundombinu katika barabara ya Morogoro kwa kujaa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
05-May-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10