Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAWILI WAFARIKI DUNIA ARUMERU KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Na Woinde Shizza, ArushaWATU wawili wamefariki dunia kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha kwa siku tatu mfululizo katika wilaya ya Arumeru huku nyumba zaidi ya 50 kuharibika kutokana na mvua hizo.
Akitoa taarifa za hali ya mwendendo wa mvua hizo mara baada ya kufanya ziara na kushiriki shughuli za uokoaji, Mkuu wa wilaya ya Arumeru  Jery Muro amesema kuwa mvua hizo  zimeleta madhara makubwa kwani zimesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefariki dunia leo Alhamisi   April 23 Katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO

Maji yakiwa yamejaa katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo. Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, maeneo…

 

5 years ago

Michuzi

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAENDELEA KULETA ATHARI

Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta athari mbalimbali ikiwemo kuvunja Daraja la Barabara ya Mtoni katika eneo la Vibandani ambalo limevunjika mapema ya Leo March 9 Majira ya Asubuhi.

 

10 years ago

GPL

ATAHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI

Eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo lilivyokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha. Maji yakitapakaa eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo hivyo kusababisha usafiri na biashara ndogondogo kusitishwa kwa mda. Gari likiwa limesombwa na mafuriko.…

 

9 years ago

Vijimambo

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DMV ZAANZA KULETA MADHARA

Mvua zinazoendelea kunyesha siku ya pili mfululizo DMV zimeanza kuleta madhara kama unaovyo kwenye picha gari dogo aina ya Nissan ikiwa imeangukiwa na mti lilipokua limeegeshwa katika barabara ya 23 NW Washington, DC. Picha na Eliud Mbowe

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: UPOTOSHWAJI WA TAHADHARI YA HALI YA HEWA KUHUSIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini inapenda kukanusha kuhusiana na taarifa ya ujumbe mfupi wa simu na katika mitandao ya kijamii wenye maneno yafuatayo : ‘TMA warning heavy rains of strong easterly winds 100km an hour expected to hit Dar coast from Somalia, Heavy rains 120mm above sea level expected today and tommorrow. People must avoid Sea and areas near to Sea should be alert cautioned. Tanzania Meteorological Agency  www.tma.gov.tz’   
Mamlaka inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAHARIBU MAZAO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo wilaya ya Ludewa iliyopo mkoani Njombe imepelekea kufanya uharibifu wa mazao mbalimbali ikiwemo mahindi na kushusha kiwango cha uzalishaji kutoka tani laki moja na elfu kumi na moja kwa mwaka jana mpaka kufikia tani isiyozidi laki moja kwa mwaka huu 
Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Ludewa Adrea Tsere amesema wilaya yake inaongoza kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mahindi katika mkoa wa Njombe ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani