Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFURIKO DUMILA YAMUUMBUA MKE WA MTU AKISALITI NDOA GESTI

Jambo limezua jambo! Mvua zilizonyesha na kusababisha mafuriko maeneo ya Dumila mkoani hapa, zimemuumbua mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, akiwa anasaliti ndoa gesti.
Mafuriko hayo yalisababishwa na mvua kubwa zilizoanza kunyesha Jumatano iliyopita na kusababisha maafa makubwa yakiwamo kuharibiwa kwa makazi ya watu, majengo ya serikali zikiwamo shule, vyuo na mahakama. Shuhuda wa tukio hilo, Lugendo Seleman, mkazi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MPENZI WA FACEBOOK AMNYONGA MKE WA MTU GESTI!

KWELI mchepuko siyo dili! Kauli hii imedhihirika kufuatia mwanadada, Ashura Maulid, mkazi wa Ilala jijini Dar, kukumbwa na mauti kwa madai ya kunyongwa ndani ya gesti na mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Charles ambaye inasemekana ni mpenzi waliyekutana kwenye mtandao wa kijamaii wa Facebook. Marehemu Ashura Maulid enzi za uhai wake. Tukio hilo lililojaa majonzi tele na kuacha maswali mengi, hasa kwa mume wa marehemu,...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA FACEBOOK ANAYEDAIWA KUMNYONGA MKE WA MTU GESTI DAR NI HUYU!

Stori: Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MAPYA tena! Yale mauaji ya mke wa mtu, Ashura Maulid yaliyotokea kwa kunyongwa gesti na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa kwenye mtandao wa kijamii Facebook, Charles Raphael (pichani), sasa Uwazi limepata picha yake na mengine yameibuka. Charles Raphael anayedaiwa kumnyonga mke wa mtu gesti. MTUHUMIWA WA MAUAJI
Taarifa kutoka chanzo makini zimeeleza kuwa, mwanaume...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aiponda ripoti ya mafuriko Dumila

Rais Jakaya Kikwete ameikataa taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kuhusu waathirika wa mafuriko na waliokosa makazi na kumpa siku moja kukaa na timu yake kuandaa nyingine inayoendana na hali halisi ya janga hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahanga wa mafuriko Dumila wakosa makazi

WAHANGA wa mafuriko katika maeneo ya Dumila, mkoani Morogoro wanakabiliwa na hali ngumu ya ukosefu wa makazi  baada ya nyumba zao za muda (mahema) kuezuliwa na kimbunga kilichoambatana na mvua....

 

11 years ago

Mwananchi

Mikasa, vitimbi na shida mafuriko ya Magole-Dumila

>Kati ya watu wanaojutia mafuriko hayo ni mtoto  Mohamed Said, mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Magole, mkoani humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika

Mafuriko makubwa yametokea katika Kata ya Dumila, Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha mamia ya watu kupoteza makazi huku daraja la Mto Mkundi linaloziunganisha Wilaya za Kilosa na Mvomero likivunjika.

 

10 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU-2

HATUNA budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena katika uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa la uhusiano. Siku zote ukikubali kupokea na kufanyia kazi yale tunayopeana kila Jumamosi kupitia safu hii. Leo ni siku ya wapendanao (valentine‘s day). Ni vyema basi ukaitumia siku hii kutafakari na umpendaye. Kumpa zawadi, kutafuta sehemu tulivu na kujadili uhusiano wenu.Ifanye siku hii kuwa mwanga mzuri wa penzi...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?

NAMSHUKURU Mungu kunikutanisha tena na nyinyi marafiki katika uwanja wetu wa elimu ya uhusiano. Hujakosea kusoma makala haya maana hapa ndipo tunapojifunza masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulijifunza mada iliyokuwa inahusu nani anayestahili kuhongwa kati ya mwanaume na mwanamke. Bila shaka msomaji wangu ulipata elimu, kimsingi nilisema kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake, kutobweteka na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani