Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika
Mafuriko makubwa yametokea katika Kata ya Dumila, Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha mamia ya watu kupoteza makazi huku daraja la Mto Mkundi linaloziunganisha Wilaya za Kilosa na Mvomero likivunjika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Mar
Waathirika wa mafuriko Kilosa wapewa chakula
TAASISI za kutoka Kuwait za African Relief Commitee , na Africa Muslims Agency, zimetoa misaada kwa waathirika wa mafuriko wa vijiji vya Taarafa ya Magole wilaya za Kilosa Dakawa na Mvomero.
11 years ago
Habarileo26 Jan
Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi
SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.
11 years ago
Dewji Blog18 Apr
Tigo yakabidhi msaada kwa Shirika la Red Cross Tanzania kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Dumila na Dar es Salaam
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema leo katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika makao makuu ya Red Cross, jijini Dar es Salaam. Kiasi hicho kinalenga kuwapatia waathirika wa mafuriko wa Dumila – Morogoro na Dar es Salaam huduma za malazi, maji, chakula, mablanketi, neti za kuzuia mbu na magodoro.
Kaimu Katibu Mkuu wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwmzZ3uN*6uiVUSNwe3IRa5CuMPDDddtuHcn37G-LHRFosMMXDQlfDEumLLwlKXPsXYqCXgscKId1Eoa3GolUpa4/1.jpg?width=650)
TIGO YAKABIDHI MSAADA KWA SHIRIKA LA RED CROSS TANZANIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DUMILA NA DAR ES SALAAM
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Mafuriko yaikumba Mtwara, nyumba 200 zazingirwa na maji, RC atoa saa 24 yaondolewe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5Qd-hbpx4KZs51284q73vUn3w*LcaGDPonP9bEhiLtltPqzKS3BZj7X1oRiqxJh1foN4UkOlK*9x2xvyfSj60vVM/13.gif)
DARAJA LA DUMILA LASOMBWA NA MAJI
11 years ago
Mwananchi28 Jan
JK aiponda ripoti ya mafuriko Dumila
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2GGM0b9*IbvIfVEuW4xgZM*b-0uwkAO4ASGiN2EPh82Xj98O7UoKTLQ8hSd9vuMvFjCUNZSc1F1KVuR6qg83Wq/13.gif)
WAZIRI MKUU PINDA ATUA DARAJA LA DUMILA
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Wahanga wa mafuriko Dumila wakosa makazi
WAHANGA wa mafuriko katika maeneo ya Dumila, mkoani Morogoro wanakabiliwa na hali ngumu ya ukosefu wa makazi baada ya nyumba zao za muda (mahema) kuezuliwa na kimbunga kilichoambatana na mvua....