Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DARAJA LA DUMILA LASOMBWA NA MAJI

Daraja la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Baadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na Moro yameamua kugeuza na kurudi yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DK MAGUFULI AHAMIA MOROGORO KUSIMAMIA UJENZI DARAJA LA DUMILA LILILOSOMBWA NA MAJI

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akiwa katika gari linaloendelea na ujenzi wa daraja la Dumila.
Waziri Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji wa Tanroads.…

 

11 years ago

GPL

DARAJA LASOMBWA NA MVUA RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatalisha usalama kwa watumiaji wa daraja hilo katika Wialaya ya Nyasa, ambapo alitoa agizo kwa Meneja wa TANROADS mkoani humo kubadili mbao.
Pichani aliyesimama katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu akiwa katika daraja la kijiji cha Mbui ambacho daraja la mto Ng’ombo limesombwa na  maji...

 

11 years ago

Michuzi

DARAJA LASOMBWA NA MAFURIKO MKOANI RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatarisha usalama wa  watumiaji wa Daraja hilo katika Wilaya ya Nyasa. Ametoa agizo kwa Meneja wa TANROADS mkoani humo kubadili mbao katika daraja la Mto CHIMATE haraka  na kuweka kambi katika daraja la Mto MBULI kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na wananchi ili kujua tabia ya mto huo hasa wakati wa masika. Kutokana na Mvua kubwa zinazoelendelea kunyesha Wilaya...

 

9 years ago

Habarileo

Gari lasombwa maji na kuua mjamzito

WATU watatu wamekufa akiwamo mjamzito na mtoto wa miezi miwili na abiria wengine sita wamenusurika kufa baada ya gari dogo aina ya Toyota walilokuwamo kusombwa na maji katika Mto Kilambwa, wilayani Sumbawanga.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA ATUA DARAJA LA DUMILA

Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa. WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda hivi punde amewasili eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro lililokatika baada ya kunyesha mvua kubwa ili kujionea hali halisi ya eneo hilo pamoja na kutoa pole kwa familia zilizokumbwa na maafa hayo. Mhe. Pinda ametua kwa helkopta ya polisi na ameungana na Waziri wa Ujenzi, Mhe. John Pombe Magufuli...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA

Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa. Wasafiri wakiwa eneo hilo la daraja baada ya safari zao…

 

11 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika

Mafuriko makubwa yametokea katika Kata ya Dumila, Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha mamia ya watu kupoteza makazi huku daraja la Mto Mkundi linaloziunganisha Wilaya za Kilosa na Mvomero likivunjika.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUA MAGOLE, AKAGUA DARAJA LA DUMILA, AONGEA NA WANANCHI

Helkopta iliyokuja na Rais Kikwete ikitua eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro leo. Rais Kikwete akishuka katika helkopta…

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MAJI MAJI YA SONGEA YATANGAZA KIKOSI CHAKE TAYARI KWA LIGI DARAJA LA KWANZA

http://2.bp.blogspot.com/-IvS9l5rRhZ0/U5cIFqx0uYI/AAAAAAAAGdc/_crReK44TWM/s1600/SAM_1265.JPGAfisa habari wa klabu ya Maji Maji Nathan Mtega----------------- Uongozi Wa Klabu Ya Maji Maji Ya Mjini Songea Mkoani Ruvuma Unatangaza Kikosi Cha Wachezaji 26 Waliosajiriwa Kwa Ajili Ya Mashindano Ya Soka Ligi Daraja Kwanza Msimu Wa 2014-15.

Kikosi Hicho Ambacho Kitaingia Kambini Muda Wowote Kuanzia Sasa Kina Wachezaji Wapya 12 Ambaoni Osward Issa,Samir Said,Emmanuel Maganga,Ally Mohamed,Kudra Omary,Saud Fundikira,Mrisho Said,Idd Kipagule,Mohamed Omary,Yohana Kumburu Na Msafiri Abdalah Na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani