Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DARAJA LASOMBWA NA MVUA RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatalisha usalama kwa watumiaji wa daraja hilo katika Wialaya ya Nyasa, ambapo alitoa agizo kwa Meneja wa TANROADS mkoani humo kubadili mbao.
Pichani aliyesimama katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu akiwa katika daraja la kijiji cha Mbui ambacho daraja la mto Ng’ombo limesombwa na  maji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DARAJA LASOMBWA NA MAFURIKO MKOANI RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatarisha usalama wa  watumiaji wa Daraja hilo katika Wilaya ya Nyasa. Ametoa agizo kwa Meneja wa TANROADS mkoani humo kubadili mbao katika daraja la Mto CHIMATE haraka  na kuweka kambi katika daraja la Mto MBULI kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na wananchi ili kujua tabia ya mto huo hasa wakati wa masika. Kutokana na Mvua kubwa zinazoelendelea kunyesha Wilaya...

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA DUMILA LASOMBWA NA MAJI

Daraja la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Baadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na Moro yameamua kugeuza na kurudi yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yasomba Daraja Igunga

DARAJA lililopo barabara ya kutoka Igunga mjini kwenda Mwanzugi limesombwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia jana wilayani Igunga, Tabora. Wakizungumza na waandishi wa habari katika...

 

10 years ago

GPL

MVUA ZILIVYOATHIRI DARAJA LA KIVULE, DAR

Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar. Hali ya usafiri imezidi kuwa ngumu. Mkondo wa maji yanavyotoka…

 

11 years ago

GPL

MAGARI YAKWAMA DARAJA LA RUVU KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZONYESHA

Baadhi ya Malori yakiwa katika foleni kubwa katika daraja la Ruvu kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Sehemu kubwa ya maji eneo la Ruvu. Foleni ya kufa…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA

Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa. Wasafiri wakiwa eneo hilo la daraja baada ya safari zao…

 

11 years ago

GPL

MAAFA YA MVUA DAR: DARAJA LA MBAGALA-KONGOWE NALO LAKATIKA

Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.…

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akifurahia kikundi cha Ngoma cha mkoa wa Ruvuma katika sherehe ya uzinduzi wa Daraja la Ruhekei lililopo katika barabara Mbinga –Mbamba bay mkoani Ruvuma. Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli wa kwanza kulia wakifanya ishara ya kuweka jiwe la msingi na kufungua Daraja la Ruhekei linalounganisha kati ya Mbinga na Mbamba Bay mkoani Ruvuma. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua Daraja la...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua

Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.

Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.

 Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani