Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yasomba Daraja Igunga

DARAJA lililopo barabara ya kutoka Igunga mjini kwenda Mwanzugi limesombwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia jana wilayani Igunga, Tabora. Wakizungumza na waandishi wa habari katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MH. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU KATIKA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA

WAKAZI WAISHIO PEMBEZONI MWA BARABARA KUU YA IGUNGA - NZEGA WAKIMSILIZA WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUHUSU OMBI LA KUWEKEWA MATUTA. HATA HIVYO WAZIRI WA UJENZI ALIWAJIBU KUWA SHERIA HAIRUHUSU KUWEKA MATUTA KWENYE BARABARA KUU ILA TANROADS ITAWEKA ALAMA ZA BARABARANI KATIKA ENEO HILO ILI WANANCHI HAO WASIPATE SHIDA YA KUVUKA BARABARA. WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPANDA JUU YA DARAJA LA MBUTU ILI KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WAKE AMBAO UMEFIKIA ZAIDI YA...

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU IGUNGA‏

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu kata ya Butu Wilayani Igunga Bw Christopher Makoye wakati alipokagua ujenzi wa daraja hilo ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu kwa wananchi wanaounganishwa na kuptia daraja hilo, Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mikoa mitatu ya Tabora, Manyara na Singida akikagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU WILAYANI IGUNGA LEO.


 Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja la Mbutu,Injinia Makoye Luhuya akielezea maendeleo ya ujenzi wa daraja la Mbutu kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mapema leo,wilayani Igunga mkoani Tabora  Ujenzi wa daraja la Mbutu ukiendelea kwa kasi  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka mbao wakati wa ujenzi wa daraja hilo ukiendelea,wilayani Igunga mkoani Tabora mapema leo asubui.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa  Meneja Mradi wa ujenzi...

 

11 years ago

GPL

DARAJA LASOMBWA NA MVUA RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatalisha usalama kwa watumiaji wa daraja hilo katika Wialaya ya Nyasa, ambapo alitoa agizo kwa Meneja wa TANROADS mkoani humo kubadili mbao.
Pichani aliyesimama katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu akiwa katika daraja la kijiji cha Mbui ambacho daraja la mto Ng’ombo limesombwa na  maji...

 

10 years ago

GPL

MVUA ZILIVYOATHIRI DARAJA LA KIVULE, DAR

Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar. Hali ya usafiri imezidi kuwa ngumu. Mkondo wa maji yanavyotoka…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA

Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa. Wasafiri wakiwa eneo hilo la daraja baada ya safari zao…

 

11 years ago

GPL

MAGARI YAKWAMA DARAJA LA RUVU KUTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZONYESHA

Baadhi ya Malori yakiwa katika foleni kubwa katika daraja la Ruvu kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Sehemu kubwa ya maji eneo la Ruvu. Foleni ya kufa…

 

11 years ago

GPL

MAAFA YA MVUA DAR: DARAJA LA MBAGALA-KONGOWE NALO LAKATIKA

Daraja la Mbagala-Kongowe likiwa limekatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.…

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Tabora waomba kujengewa daraja Mto Mpyagula ili kuepusha vifo msimu wa mvua

Watu watatu hadi watano hufa maji kila mwaka katika kipindi cha msimu wa mvua kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye Mto Mpyagula ambao huwaunganisha wakazi wa wilaya mbili za mkoa wa Tabora.

Kutokana na kupoteza maisha ya watu hao msimu wa mvua, wakazi wa vijiji vya Miswaki wilayani Uyui na Buhekela wilayani Igunga mkoani Tabora wameomba ujenzi wa daraja hilo kwa viongozi wa Serikali.

 Wananchi hao wamesema Mto Mpyagula ambao hutenganisha vijiji vya wilaya ya Uyui na vijiji vya wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani