DARAJA LASOMBWA NA MAFURIKO MKOANI RUVUMA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa Daraja hilo katika Wilaya ya Nyasa. Ametoa agizo kwa Meneja wa TANROADS mkoani humo kubadili mbao katika daraja la Mto CHIMATE haraka na kuweka kambi katika daraja la Mto MBULI kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na wananchi ili kujua tabia ya mto huo hasa wakati wa masika.
Kutokana na Mvua kubwa zinazoelendelea kunyesha Wilaya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDARAJA LASOMBWA NA MVUA RUVUMA
11 years ago
GPL
DARAJA LA DUMILA LASOMBWA NA MAJI
11 years ago
Habarileo11 Apr
Gari lasombwa na mafuriko dereva ajiokoa kwenye mti
DEREVA wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, (NCAA), Juma Moshi, amenusurika kufa maji baada ya gari alilokuwa akiliendesha kusombwa na mafuriko ya maji katika mto Malera, nje kidogo ya mji wa Karatu na yeye mwenyewe kupanda juu ya mti.
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Daraja lililosombwa na mafuriko lafunguliwa
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, jana amefungua daraja lililosombwa na mafuriko eneo la Dumila katika mto Mkundi, mkoani Morogoro, ili kunusuru uchumi wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari,...
10 years ago
Michuzi%2B(800x533).jpg)
MAFURIKO YAATHILI DARAJA LA KIKULETWA WILAYANI HAI
%2B(800x533).jpg)
%2B(800x533).jpg)
%2B(800x533).jpg)
%2B(800x533).jpg)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Makamu wa Rais afanya ziara ya kukagua athari za mafuriko Dar na maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Mpiji
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na Dar es Salaam, lililokatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini, wakati Makamu alipofanya ziara hiyo ya kujionea maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo leo Aprili 13, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...