Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daraja lililosombwa na mafuriko lafunguliwa

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John  Magufuli, jana amefungua daraja lililosombwa na mafuriko  eneo la Dumila katika mto Mkundi, mkoani Morogoro, ili kunusuru uchumi wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DK MAGUFULI AHAMIA MOROGORO KUSIMAMIA UJENZI DARAJA LA DUMILA LILILOSOMBWA NA MAJI

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akiwa katika gari linaloendelea na ujenzi wa daraja la Dumila.
Waziri Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji wa Tanroads.…

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AKAGUA UKARABATI WA DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO KATI YA MOROGORO NA DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo limesombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya Morogoro na Dodoma, Machi 4, 2020. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kazi ya ukarabati wa daraja la Kiyegeya lililopo eno la Gairo ambalo limesombwa na maji na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ATEMBELEA DARAJA LA KIEGEYA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO BARABARA YA DODOMA-MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili eneo la daraja la Kiegeya lililosombwa na maji na kukata mawasiliano barabara ya Dodoma-Morogoro akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Aloyce Mamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Sanare na viongozi wengine wa Wizara na mkoa huo leo Jumatatu Machi 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea maeneo mbalimbali yaliyozunguka daraja la...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA DARAJA LA KIEGEYA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO BARABARA YA DODOMA-MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili eneo la daraja la Kiegeya lililosombwa na maji na kukata mawasiliano barabara ya Dodoma-Morogoro akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Aloyce Mamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Sanare na viongozi wengine wa Wizara na mkoa huo leo Jumatatu Machi 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea maeneo mbalimbali yaliyozunguka daraja la...

 

11 years ago

Michuzi

DARAJA LASOMBWA NA MAFURIKO MKOANI RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatarisha usalama wa  watumiaji wa Daraja hilo katika Wilaya ya Nyasa. Ametoa agizo kwa Meneja wa TANROADS mkoani humo kubadili mbao katika daraja la Mto CHIMATE haraka  na kuweka kambi katika daraja la Mto MBULI kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na wananchi ili kujua tabia ya mto huo hasa wakati wa masika. Kutokana na Mvua kubwa zinazoelendelea kunyesha Wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

MAFURIKO YAATHILI DARAJA LA KIKULETWA WILAYANI HAI

Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mafuriko yaliyong'oa miti na kuharibu kingo za daraja la Kikuletwa wilayani Hai.Mti mkubwa ulizolewa na maji na kisha kugota katika daraja la Kikuletwa.Baadhi ya wakazi wa Kitongoji cha Kikuletwa wakivuka katika daraja hilo.Baadhi ya vijana wakiangalia namna ambayo wataweza kuondoa miti hiyo.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Mwananchi

Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika

Mafuriko makubwa yametokea katika Kata ya Dumila, Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha mamia ya watu kupoteza makazi huku daraja la Mto Mkundi linaloziunganisha Wilaya za Kilosa na Mvomero likivunjika.

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais afanya ziara ya kukagua athari za mafuriko Dar na maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Mpiji

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na Dar es Salaam, lililokatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini, wakati Makamu alipofanya ziara hiyo ya kujionea maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo leo Aprili 13, 2014. (Picha na OMR).

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani