Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFURIKO YAATHILI DARAJA LA KIKULETWA WILAYANI HAI

Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mafuriko yaliyong'oa miti na kuharibu kingo za daraja la Kikuletwa wilayani Hai.Mti mkubwa ulizolewa na maji na kisha kugota katika daraja la Kikuletwa.Baadhi ya wakazi wa Kitongoji cha Kikuletwa wakivuka katika daraja hilo.Baadhi ya vijana wakiangalia namna ambayo wataweza kuondoa miti hiyo.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARARE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa wilaya ya Hai, wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO - WILAYANI HAI-KILIMANJARO

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea wiki lililopita.
Benki hiyo imetoa vitu mbalimbali vikiwemo unga, maharage, magodoro na sementi vyenye gharama ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tukio hilo lililowaacha mamia ya Watanzania bila makazi huku mali zao zikiharibiwa kwa kiasi kikubwa.
Akikabidhi msaada huo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI HAI

Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa chini wilayani Hai.Msaada wa magodoro uliotolewa na Benki ya NMB kwa waathirika wa mafuriko yaliyotkea hivi karibuni wilayani Hai.Meneaja wa NMB kanda ya kasakazini Vicky Bishubo akikabidhi msaada kwa mkuu wa wilya ya Hai,Anthony Mtaka huku zoezi hilo likishuhudiwa na mbunge wa jimbo hilo Freeman Mbowe.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA BAADA YA HIACE KUGONGANA NA FUSO KATIKA DARAJA LA MTO KIKAVI WILAYANI HAI

 Watu wanne wamefariki dunia na wengine kumi na mmoja kujeruhiwa,watatu kati yao hali zao ni mbaya na kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya KCMC kufuatia ajali iliyohusisha magari ya FUSO na HIACE katika daraja la Mto Kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Fuso likiwa limeharibika vibaya kuytoka na ajali hiyo
Magari yakiwa kwenye foleni baada ya kutokea kwa ajali hiyo

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe matatani wilayani Hai

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameingia matatani baada ya Mahakama ya Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA WILAYANI HAI LEO

Camera ya Globu ya Jamii imeinasa taswira hii ya samaki wakikaushwa tayari kwa matumizi mengine ikiwemo kitoweo,taswira hiyo imenaswa katika kitongoji cha Kiyungi katika kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.Sehemu ya soko ndani ya mji wa Machame wilayani Hai.Moja ya Daraja maarufu sana wilayani Hai,liitwalo Daraja la MNEPO linalopatikana katika kitongoji cha Kiyungi, kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Shamba la Migomba ndani ya Machame wilayani Hai,kama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daraja lililosombwa na mafuriko lafunguliwa

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John  Magufuli, jana amefungua daraja lililosombwa na mafuriko  eneo la Dumila katika mto Mkundi, mkoani Morogoro, ili kunusuru uchumi wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari,...

 

10 years ago

Michuzi

MEGATRADE INVESTIMENT LTD YAVIPIGA JEKI VILABU VYA DARAJA LA NNE WILAYA YA HAI

Wafanyakazi wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini Arusha wakiwa na viongozi wa Chama cha soka wilaya ya Hai kwa ajili ya kukabidhi msaada wa vifaa vya michezo vilivyotolewa kwa vilabu 10 vinavyoshiriki ligi daraja la nne ngazi ya wilaya .Meneja Mauzo wa kampuni ya Megatrade Investment Ltd ,kanda ya Kaskazini,Edmund Rutaraka akikabidhi jezi kwa Katibu wa Chama cha soka wilaya ya Hai(HAIDAFA) Cuthbert Mushi huku zoezi hilo likishuhudiwa na wajumbe wa kamati ya utendaji ya chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani