Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA KUTOKA WILAYANI HAI LEO

Camera ya Globu ya Jamii imeinasa taswira hii ya samaki wakikaushwa tayari kwa matumizi mengine ikiwemo kitoweo,taswira hiyo imenaswa katika kitongoji cha Kiyungi katika kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.Sehemu ya soko ndani ya mji wa Machame wilayani Hai.Moja ya Daraja maarufu sana wilayani Hai,liitwalo Daraja la MNEPO linalopatikana katika kitongoji cha Kiyungi, kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Shamba la Migomba ndani ya Machame wilayani Hai,kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa wilaya ya Hai, wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARARE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

taswira Kutoka bungeni dodoma leo

Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Mhe. Augustino Lyatonga Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Mhe. Ismail  Aden Rage leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Mhe. Prof. Costa Mahalu (Kulia) na  Mhe. Tundu Lissu wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge maalum la katiba...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO


Waziri Mkuu Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na sehemu ya viongozi wa jamii ya wafugaji kutoka katika baadhi ya mikoa hapa nchini waliotembelea bungeni leo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii Kanda ya Kati.
Katibu wa Bunge,Dkt. Thomas Kashilila (katikati) akiteta jambo na Mchungaji Luckson Mwanjale (kushoto) na Mh. Godfrey Zambi katika Viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta (katikati) akisalimiana na Baadhi...

 

11 years ago

Michuzi

taswira kutoka bunge maalum la katiba leo

 Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki. Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana jambo. M/kiti wa kamati namba mbili Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha  taarifa za kamati namba mbili leo katika bunge maalum
 Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu akimwonyesha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema   Mhe Profesa Mark Mwandosya kushoto akitafakari jambo na...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mungulu Nchema akigombewa kusalimiwa na Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai Mkoani Kilimanjaro.Wanafunzi hawa wanatembelea Bunge kwa ziara ya kimafunzo.  Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mungulu Nchema katikati Mstari wa Nyuma akiwa katika Picha ya pamoja na Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai Mkoani Kilimanjaro  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuju,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Aggrey Mwanri akiwa katika Picha...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO

Mtoto mkazi wa  Rupingu  akitoka  kuchota maji  katika  kina  kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa  kuchafuka na hivyo maji ya pembeni  kuwa na uchafu mwingi.
Wakazi wa Rupingu  Ludewa  wakitazama abiria  wakishuka katika  boti baada ya  ziwa kuchafuka.
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari  baada ya   ziwa nyasa  kuchafuka 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani