Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


taswira kutoka bunge maalum la katiba leo

 Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki. Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana jambo. M/kiti wa kamati namba mbili Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha  taarifa za kamati namba mbili leo katika bunge maalum
 Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu akimwonyesha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema   Mhe Profesa Mark Mwandosya kushoto akitafakari jambo na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela  (kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba  na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto), Bungeni Mjini Dodoma Aprili 4, 2014.…
...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Anna Abdallah...

 

11 years ago

Michuzi

taswira toka bunge maalum la katiba mjini dodoma leo

 Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mhe. Profesa Costa Mahalu akiteta jambo na katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dkt. Thomas Kashilila kulia na Mhe.John Magufuli.  Spika wa Bunge la Jahmuri ya Muungano Mhe. Anna Makinda akijadiliana jambo na Mhe. Dkt Mohamed Seif Khatib  Wajumbe Mhe Machali  na Mhe.Mchungaji Kadiva wakijadiliana  Waziri mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa kulia aliyekaa akijadiliana jambo na Mhe.Philemon Ndesamburo Mhe.Andrew Chenge akijadiliana  jambo na Mhe. Sadifa...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali toka Bunge maalum la katiba mjini dodoma leo

Mwenyekiti wa kanuni za bunge maalum Mhe. Pandu Ameir kificho akiwasilisha mapendekezo ya kubadili kanuni leo asubuhi Makamu M/kiti Mhe.Samia Suluhu akiendesha kikao cha  bunge maalum leo baada ya siku nne za vikao vya kamati kumi na mbili zilizo undwa kufanya vikao vyao bila kumaliza kujadili kifungu cha kwanza na kifungu cha sita cha rasimu ya katiba mpya.
Bunge limeahirishwa hadi alhamishi wiki hii kutoa fursa kwa kamati kuendelea na vikao.  Wabunge wakijadili mabadiliko ya kanuni...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,  Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma leo Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum  la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA KATIKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Kamati ya  Kumshauri  Mwenyekiti kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Mhe Profesa Costa Mahalu (kulia) akiteta na wajumbe wa kamati hiyo Bungeni Mjini Dodoma baada ya Semina  ya Wabunge wa Bunge Maalum la  Katiba kuahirishwa hadi kesho saa nne.  Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe  wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe James Mbatia kwenye ukumbi wa bunge Mjini Dodoma baada ya Semina  ya Wabunge wa Bunge Maalum la  Katiba kuahirishwa hadi kesho saa...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba,Mh. Pandu Kificho akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha Bunge hilo,kinachoendelea leo kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.  Wajumbe wa Bunge la Katiba,Mh. Tundu Lissu na Mh. Jussa wakibadilishana mawazo wakati wa kikao cha Bunge la Katiba kinachoendelea leo Mjini Dodoma.  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Edward Lowassa akifatilia kwa makini mjadala wa Bunge hilo,mjini Dodoma leo.  Mh. Anne Makinda akichangia Mapendekezo ya Rasimu ya Kanuni...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani