taswira Kutoka bungeni dodoma leo
Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Mhe. Augustino Lyatonga Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Mhe. Ismail Aden Rage leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Mhe. Prof. Costa Mahalu (Kulia) na Mhe. Tundu Lissu wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge maalum la katiba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na sehemu ya viongozi wa jamii ya wafugaji kutoka katika baadhi ya mikoa hapa nchini waliotembelea bungeni leo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii Kanda ya Kati.
Katibu wa Bunge,Dkt. Thomas Kashilila (katikati) akiteta jambo na Mchungaji Luckson Mwanjale (kushoto) na Mh. Godfrey Zambi katika Viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta (katikati) akisalimiana na Baadhi...
11 years ago
MichuziTASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
10 years ago
Dewji Blog27 Jan
Taswira mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma leo
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge Januari 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari, Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na...
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALIMBALI ZA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
11 years ago
MichuziTASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO,RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
10 years ago
MichuziTASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA
10 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
10 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA BUNGENI BAADA YA KIKAO KUAHIRISHWA LEO ASUBUHI