Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MBALIMBALI ZA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Naibu waziri wa Fedha Mhe. Mwingulu Nchemba akizungumza na Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambo wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe.Marck Mwandosya akiwapungia mkono ishara ya kuwasalimia  Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya Kongwa ambao wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge leo  Mhe.Vicky Paschal Kamata...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Taswira mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A8662

Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe  kuingia kwenye ukumbi wa Bunge  Januari 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8718

Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma.

PG4A8741

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George  Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma.

PG4A8782

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari, Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A8802

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mungulu Nchema akigombewa kusalimiwa na Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai Mkoani Kilimanjaro.Wanafunzi hawa wanatembelea Bunge kwa ziara ya kimafunzo.  Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mungulu Nchema katikati Mstari wa Nyuma akiwa katika Picha ya pamoja na Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai Mkoani Kilimanjaro  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuju,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Aggrey Mwanri akiwa katika Picha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka bungeni mjini Dodoma leo

PG4A2298

 

Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.

PG4A2310

Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A2314

 

PG4A2347

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO,RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA

Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini Dodoma leo Mei 6, 2014. Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi yaWaziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wasanii kutoka kikundi cha Pilipili Entertainment, Ahmed Olotu maarufu kwa jina la Chillo (katikati) na Madame Kitu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 29, 2014. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge leo Januari 27, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama,Bungeni mjini Dodoma leo Januari 27, 2015.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma

PG4A3749

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka jimbo la Mkuranga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 24, 2014. Madiwani hao walikwenda  Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Adam Malima ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A3758

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na  Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, Bungeni mjini Dodoma.

PG4A3768

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mbunge wa Mtwara Mjini  Hasnan Murji,bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014. (Picha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali ya picha kutoka Bungeni mjini Dodoma

PG4A9014

Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 28, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). PG4A9034 Spika wa Bunge Anne Makinda akitoka Bungeni baada ya kulazimika kuahirisha kikao kabla ya muda wake. PG4A9084 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili kwenye viwanja vya Bunge mjini  Dodoma Januari 28, 2015. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO


Waziri Mkuu Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na sehemu ya viongozi wa jamii ya wafugaji kutoka katika baadhi ya mikoa hapa nchini waliotembelea bungeni leo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii Kanda ya Kati.
Katibu wa Bunge,Dkt. Thomas Kashilila (katikati) akiteta jambo na Mchungaji Luckson Mwanjale (kushoto) na Mh. Godfrey Zambi katika Viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta (katikati) akisalimiana na Baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani