Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA YA LEO KUTOKA BAGAMOYO.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA WILAYANI HAI LEO

Camera ya Globu ya Jamii imeinasa taswira hii ya samaki wakikaushwa tayari kwa matumizi mengine ikiwemo kitoweo,taswira hiyo imenaswa katika kitongoji cha Kiyungi katika kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.Sehemu ya soko ndani ya mji wa Machame wilayani Hai.Moja ya Daraja maarufu sana wilayani Hai,liitwalo Daraja la MNEPO linalopatikana katika kitongoji cha Kiyungi, kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Shamba la Migomba ndani ya Machame wilayani Hai,kama...

 

11 years ago

Michuzi

taswira Kutoka bungeni dodoma leo

Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Mhe. Augustino Lyatonga Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Mhe. Ismail  Aden Rage leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Mhe. Prof. Costa Mahalu (Kulia) na  Mhe. Tundu Lissu wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Bunge maalum la katiba...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO


Waziri Mkuu Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na sehemu ya viongozi wa jamii ya wafugaji kutoka katika baadhi ya mikoa hapa nchini waliotembelea bungeni leo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii Kanda ya Kati.
Katibu wa Bunge,Dkt. Thomas Kashilila (katikati) akiteta jambo na Mchungaji Luckson Mwanjale (kushoto) na Mh. Godfrey Zambi katika Viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta (katikati) akisalimiana na Baadhi...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mungulu Nchema akigombewa kusalimiwa na Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai Mkoani Kilimanjaro.Wanafunzi hawa wanatembelea Bunge kwa ziara ya kimafunzo.  Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mungulu Nchema katikati Mstari wa Nyuma akiwa katika Picha ya pamoja na Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai Mkoani Kilimanjaro  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuju,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Aggrey Mwanri akiwa katika Picha...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO

Mtoto mkazi wa  Rupingu  akitoka  kuchota maji  katika  kina  kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa  kuchafuka na hivyo maji ya pembeni  kuwa na uchafu mwingi.
Wakazi wa Rupingu  Ludewa  wakitazama abiria  wakishuka katika  boti baada ya  ziwa kuchafuka.
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari  baada ya   ziwa nyasa  kuchafuka 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

taswira kutoka bunge maalum la katiba leo

 Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki. Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana jambo. M/kiti wa kamati namba mbili Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha  taarifa za kamati namba mbili leo katika bunge maalum
 Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu akimwonyesha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema   Mhe Profesa Mark Mwandosya kushoto akitafakari jambo na...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,  Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma leo Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum  la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Dewji Blog

Taswira mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A8662

Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe  kuingia kwenye ukumbi wa Bunge  Januari 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8718

Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma.

PG4A8741

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George  Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma.

PG4A8782

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari, Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A8802

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Naibu waziri wa Fedha Mhe. Mwingulu Nchemba akizungumza na Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambo wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe.Marck Mwandosya akiwapungia mkono ishara ya kuwasalimia  Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya Kongwa ambao wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge leo  Mhe.Vicky Paschal Kamata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani