WATU WANNE WAFARIKI DUNIA BAADA YA HIACE KUGONGANA NA FUSO KATIKA DARAJA LA MTO KIKAVI WILAYANI HAI
![](http://3.bp.blogspot.com/-_Qxe_24K4F4/VajZd2FhyoI/AAAAAAABSA0/48pjxAiUO0s/s72-c/photo_2015-07-17_13-27-18.jpg)
Watu wanne wamefariki dunia na wengine kumi na mmoja kujeruhiwa,watatu kati yao hali zao ni mbaya na kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya KCMC kufuatia ajali iliyohusisha magari ya FUSO na HIACE katika daraja la Mto Kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
Fuso likiwa limeharibika vibaya kuytoka na ajali hiyo
Magari yakiwa kwenye foleni baada ya kutokea kwa ajali hiyo
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-SjVAbPf4aQE/VJgUmQzhHOI/AAAAAAAAyJE/s9ELocmsDhM/s72-c/10849955_762723843796739_395811204800001497_n.jpg)
WATU TISA WAFARIKI DUNIA BAADA YA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUGONGANA WILAYANI MOMBA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-SjVAbPf4aQE/VJgUmQzhHOI/AAAAAAAAyJE/s9ELocmsDhM/s640/10849955_762723843796739_395811204800001497_n.jpg)
WATU TISA [09] KATI YAO WANAUME SABA [07] NA WANAWAKEWAWILI [02] WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA GARI WALIOKUWA WAKISAFIRIA LENYE NAMBA ZA USAJILI T.203 ARZ AINA YA TOYOTA COASTER LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA AITWAYE JOHN EMANUEL (36) MKAZI WA MLOWO-MBOZI LIKIWA LINATOKEA MBEYA KWENDA TUNDUMA WAKATI AKIJARIBU KULIPITA GARI T.789 AZL/T.123 AXV AINA YA TATA TRUCK ENEO AMBALO KUNA MLIMA NA...
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU Wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la wanandoa wawili kuuawa na kisha nyumba yao kuchomwa moto na wao kuteketea pamoja na mali zao.
Wanandoa hao ni Ramadhani Lyanga (80) na mke wake Aziza Ally (60) wakazi wa kitongoji cha Kizega kijiji cha New Kiomboi tarafa ya Kisiriri wilaya ya Iramba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema...
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Dar
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Singida
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la mwanafunzi wa kidato cha kwanza sekondari ya Eldersgate Manyara kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela,alisema kuwa mwanafunzi huyo Uswile Lazaro (15) mkazi wa kijiji cha Ulemo tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba,amejinyinga juzi jioni huko katika kijiji cha...
10 years ago
Habarileo18 Jul
Fuso labamiza Hiace na kuua wanne
WATU wanne wamekufa papo hapo na wengine 11 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T196 AAW aina ya Toyota Hiace, kugongwa kwa nyuma na gari lenye namba za usajili T 430 AQQ aina ya Mitsubishi Fuso.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/78albYJ5oUk/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Watu 400 wafariki katika mto Yangtse
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4XxR2HDlHX4/VRKbrLMtVjI/AAAAAAAHNF8/4R3U2-WW5H8/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-03-25%2Bat%2B2.26.09%2BPM.png)
FM ACADEMIA "WAZEE WA GWASUMA" KUWASHA MTO WILAYANI HAI KATIKA UZINDUZI WA FLOMENA BAR USIKU WA JUMATATU YA PASAKA
Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma wanatarajiwa kuwasha moto ndani ya ukumbi mpya wa kisasa ujulikanao kwa jina la Flomena uliopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro usiku wa jumatatu ya pasaka .
Akizungumza na waandishi wa habari muandaaji wa onyesho hilo Swaum kileo alisema kuwa ameamua kuwaleta bendi hiyo katika uzinduzi huo ili kuweza kuwafurahisha wananchi wa mkoa wa kilimanjaro na mikoa jirani katika sikukuu hiii ya pasaka.
![](http://3.bp.blogspot.com/-4XxR2HDlHX4/VRKbrLMtVjI/AAAAAAAHNF8/4R3U2-WW5H8/s1600/Screen%2BShot%2B2015-03-25%2Bat%2B2.26.09%2BPM.png)
10 years ago
Michuzi19 Feb
WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA AJALI YA BASI KUGONGANA USO KWA USO NA LORI
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...