Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU PINDA ATUA DARAJA LA DUMILA

Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa. WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda hivi punde amewasili eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro lililokatika baada ya kunyesha mvua kubwa ili kujionea hali halisi ya eneo hilo pamoja na kutoa pole kwa familia zilizokumbwa na maafa hayo. Mhe. Pinda ametua kwa helkopta ya polisi na ameungana na Waziri wa Ujenzi, Mhe. John Pombe Magufuli...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUA MAGOLE, AKAGUA DARAJA LA DUMILA, AONGEA NA WANANCHI

Helkopta iliyokuja na Rais Kikwete ikitua eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro leo. Rais Kikwete akishuka katika helkopta…

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua rasmi mafunzo ya Uongozi daraja la kwanza Chuo cha Magereza Kiwira,Mbeya

unnamed (17)Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura.

unnamed (18)Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA, MKOANI MBEYA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura. Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

GPL

DARAJA LA DUMILA LASOMBWA NA MAJI

Daraja la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Baadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na Moro yameamua kugeuza na kurudi yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA

 Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Jumamosi Novemba 21, 2015 
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Jumamosi Novemba 21, 2015.
Waziri Mkuu,...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU WA UGANDA

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda na ujumbe wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda pamoja na viongozi wa serekalini Uganda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea jambo na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda alipo mtembelea ofisini kwake kushoto ni Kaimu wa Itafaki Tanznia Bw. Jemes Bwana,  Waziri Mkuu yupo Nchini Uganda kumuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za Skauti kutimiza mika miamoja nchini Uganda.Picha na Chris Mfinanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani