Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi
SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Mar
Waathirika wa mafuriko Kilosa wapewa chakula
TAASISI za kutoka Kuwait za African Relief Commitee , na Africa Muslims Agency, zimetoa misaada kwa waathirika wa mafuriko wa vijiji vya Taarafa ya Magole wilaya za Kilosa Dakawa na Mvomero.
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Mafuriko yaikumba dumila, kilosa, mamia waathirika na daraja kuvunjika
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vhG7kSnlHPA/Xn4Ztsv4LWI/AAAAAAAAHwQ/WsESE3ItP5cLugbOH0blEWF5WRogSajVwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200327_125321.jpg)
KAMPUNI YA QWIHAYA YATOA ZAIDI YA MILIONI 21 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO PAWAGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-vhG7kSnlHPA/Xn4Ztsv4LWI/AAAAAAAAHwQ/WsESE3ItP5cLugbOH0blEWF5WRogSajVwCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200327_125321.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa anaongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada kutoka katika Kampuni ya QWIHAYA ya wilaya Mufindi kwa ajili ya wahanga wa mafuriko yaliyotokea katika kitongoji cha Mbingama mkoani Iringa.
![](https://1.bp.blogspot.com/-YFtTabfUZnU/Xn4ZtpAQqvI/AAAAAAAAHwM/IrOkO93ft2QbccZi3CDY9WRWu5oJDc8eQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200327_125209.jpg)
Huu ndio msaada wa Mirunda ambayo itaenda kusaidia katika ujenzi wa makazi mapya kwa wananchi wa kitongoji cha Mbingama
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
KAMPUNI ya QWIHAYA GENERAL CO LTD ya mkoani Iringa imetoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 21 kwa...
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
misaada kupelekwa kwa waathirika wa Homs
10 years ago
Habarileo06 Mar
Pinda aahidi misaada waathirika wa mvua
WAKATI Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwasili mjini hapa kwa ajili ya kujionea maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mawe katika kijiji cha Mwakata kata ya Isaka wilaya ya Kahama, idadi ya watu waliokufa imeongezeka na kufikia 42 na idadi ya majeruhi ni 98.
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Waathirika Bulembo walalamikia misaada kufungiwa
WANANCHI ambao nyumba zao zimeanguka, kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali, wameulalamikia uongozi wa Kijiji cha Bulembo, Kata ya Ibuga, Wilaya ya Muleba, Kagera...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGGe3LJ0dHasyttnc9M4K6autBMnOXE4byPHFiLJn8HSmPPSVY2lHA4j31KA6IEyPr59N5*g8x1m8dT5PORgXWKL/002.jpg?width=650)
RED CROSS YAPIGWA JEKI KUWASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO KILOSA
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Watoto Moro wahitaji ulinzi zaidi
WATOTO wanaoishi katika mazingira magumu katika Manispaa ya Morogoro, wameandamana mjini hapa wakishinikiza kupatiwa ulinzi wa kutosha. Watoto hao walitoa ombi hilo juzi, baada ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya...