Pinda aahidi misaada waathirika wa mvua
WAKATI Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwasili mjini hapa kwa ajili ya kujionea maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mawe katika kijiji cha Mwakata kata ya Isaka wilaya ya Kahama, idadi ya watu waliokufa imeongezeka na kufikia 42 na idadi ya majeruhi ni 98.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DaU8sWUloXE/VPild6MkKKI/AAAAAAAHH6c/Rdj23Ho-WXE/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
MHE. PINDA ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MVUA SHINYANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-DaU8sWUloXE/VPild6MkKKI/AAAAAAAHH6c/Rdj23Ho-WXE/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kPZUja69O2M/VPilefsKSFI/AAAAAAAHH6k/t7rPaCkQSs0/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Waathirika Bulembo walalamikia misaada kufungiwa
WANANCHI ambao nyumba zao zimeanguka, kuezuliwa na mazao yao kuharibiwa na mvua iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali, wameulalamikia uongozi wa Kijiji cha Bulembo, Kata ya Ibuga, Wilaya ya Muleba, Kagera...
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
misaada kupelekwa kwa waathirika wa Homs
11 years ago
Habarileo26 Jan
Waathirika mafuriko Kilosa wahitaji misaada zaidi
SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro inahitaji misaada zaidi ya kibinadamu, itakayowasaidia watu zaidi ya 8,000 waliokumbwa na mafuriko katika Kata tatu ya Magole, Dumila na Berega zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa. Misaada hiyo inatakiwa kutokana na makazi yao kubomoka na kujaa maji ya mafuriko na kupoteza vyakula.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uBpcq1OpSsU/VOrIRcxaGoI/AAAAAAAHFWM/GqOwapM4bHU/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)
JK awafariji waathirika wa mvua ya dhoruba Chalinze
10 years ago
MichuziMTEMVU ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MVUA TEMEKE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OAyEwA4EGLI/VOnU-Nvt_ZI/AAAAAAAHFNQ/dwX9EabKaI0/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
Rais Kikwete awafariji waathirika wa mvua ya dhoruba Chalinze
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana aliwafariji na kuahidi kuzisaidia kaya 40 ambazo nyumba zao ziliharibiwa vibaya na mvua mkubwa iliyoambatana na upepo mkali wiki iliyopita huko Chalinze,wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Katika ziara hiyo Rais Kikwete ambaye alikuwa amefuatana na mkewe mama Salma Kikwete alikagua Shule ya msingi Chalinze, Ofisi ya CCM, na nyumba kadhaa za wanakijiji ambazo ziliharibiwa vibaya na mvua hizo na kujeruhi baadhi ya wanavijiji...
11 years ago
Habarileo22 Feb
Milioni 100/- zahitajika Lindi kwa waathirika wa mvua, upepo
JUMLA ya Sh milioni 100 zinahitajika kufanya ukarabati wa shule za msingi, sekondari na zahanati wilayani Kilwa mkoani Lindi zilizoezuliwa bati na majengo kuharibiwa kutokana na mvua kali zilizoambatana na upepo mwezi huu.