Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafuriko yakosesha makazi watu 7,000

TAKRIBAN wakazi 7,000 wa kata tatu zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao  zinazokadiriwa kufikia 2,500 kusombwa na kumezwa na mafuriko. Mafuriko...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mafuriko yaharibu kiwanda, makazi Moshi

NA RODRICK MUSHI, MOSHI
ZAIDI ya kaya 700 katika Kata ya Arusha Chini TPC, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, hazina makazi baada ya nyumba zao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha juzi.
Pamoja na madhara hayo kwa wananchi, pia mafuriko hayo yameharibu miundombinu ya Kiwanda cha Sukari cha TPC, taasisi mbalimbali pamoja na mashamba ya mazao ya chakula.

Taarifa hiyo ilitolewa jana na Ofisa Mtendaji na Utawala wa Kiwanda cha TPC, Jaffari Ally, alipokuwa akitoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahanga wa mafuriko Dumila wakosa makazi

WAHANGA wa mafuriko katika maeneo ya Dumila, mkoani Morogoro wanakabiliwa na hali ngumu ya ukosefu wa makazi  baada ya nyumba zao za muda (mahema) kuezuliwa na kimbunga kilichoambatana na mvua....

 

5 years ago

Michuzi

WALAZIMIKA KUHAMA MAKAZI YAO KUKWEPA ADHA YA MAFURIKO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti nchini zimeendelea kuleta  madhara,ambapo  Wilayani Kilombero Wakazi wa Kijiji Cha Nyange Kichangini kitongiji Cha Msolwa Stesheni  wameladhimika kuyahama makazi yao  kutokana  na mafuriko



 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wananchi wakosa makazi kutokana Mafuriko Mara

Mvua kubwa imenyesha mjini Bunda mkoani Mara na kusababisha mafuriko  yaliyoharibu mali za wananchi, chakula na samani za ndani.

Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa moja majira ya alasiri imesababisha hasara kubwa kwa wakazi  wa Mji huo, kwani baadhi ya wananchi wamekosa mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kujaa maji na nyingine kubomoka.

Mvua hiyo imeleta hasara kubwa katika karibu mitaa yote ya Mji wa Bunda, ambapo katika mitaa ya Kabarimu, majengo, Nyasura na mbugani mafuriko hayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakazi 3,000 Arumeru kubomolewa makazi

Zaidi ya wakazi 3,000 wa Kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, wameamriwa na Mamlaka ya Bonde la Pangani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni kubomoa nyumba zao kwa kujenga kwenye chanzo cha maji.

 

11 years ago

Habarileo

Viwanja 3,000 vya makazi kuuzwa Chamwino

HALMASHAURI ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma inatarajia kuuza viwanja 3,000 kwa ajili ya makazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuriko yazamisha nyumba 7,000

WAKAZI 7,000 wa kata tatu, Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana makazi baada ya nyumba zao zinazokadiriwa kufikia 2,500 kumezwa na maji kutokana na mafuriko huku nyingine zikisombwa na...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi


 Baadhi ya nyumba zilizojengwa eneo la Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ujenzi Nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya Wanajeshi.Picha na Hassan Silayo.  Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Meja Josephat Musira akiwaeleza Waandishi wa habari (Hawapo pichani)kuhusu Mradi wa ujenzi wa Nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya Wanajeshi ambapo kwa awamu ya kwanza idadi ya nyumba 6064 zinatarajiwa kujengwa na mpaka sasa nyumba 1160 zimeshakamilika...

 

11 years ago

Mwananchi

Uwanja wa Majimaji wageuzwa makazi ya watu

Kwa muda mrefu sasa viwanja vya michezo vya mikoa mbalimbali vinamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani