Sh bil 7 kukabili adha ya maji Dar
SERIKALI imetenga Sh bilioni saba katika mwaka wa fedha 2014/15, kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi ili kupisha mradi wa Bwawa la Kidunda, litakalotumika kukabili adha ya maji jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Bil. 9.3/- kukabili mabadiliko tabia nchi
KATIKA harakati za kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi Afrika, nchi tajiri zimetoa sh. bilioni 9.3 kwa nchi za Afrika katika kukabiliana na hali hiyo. Hayo yalielezwa mwishoni mwa...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU APOKEA SH. BIL 6.226 KUKABILI CORONA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya sh....
10 years ago
Habarileo18 Dec
Bilioni 800/- kukabili uhaba wa maji Chalinze
CHANGAMOTO ya maji wilayani Bagamoyo mkoani Pwani huenda ikawa historia baada ya serikali ya India kutoa kiasi cha Sh bilioni 800 kwa ajili ya mradi wa maji wa Wami Chalinze.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Mradi wa maji kugharimu bil. 49/-
SERIKALI kupitia Wizara ya Maji, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na maji taka katika miji ya halmashauri za Geita, Sengerema na Ukerewe mkoani Mwanza (LVWATSAN II), unaogharimu...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Iramba yatengewa bil. 1.6/- za maji
WIZARA ya Maji imetenga sh bilioni 1.6 kwa ajili ya kuboresha huduma ya maji safi na salama katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida katika kipindi cha kuanzia mwaka wa fedha...
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Mar
Bil. 1.8 zajenga miundombinu ya maji
SERIKALI imetumia sh. bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Kibirizi wilayani Bukoba.
Fedha hizo zimetumika kuchimba mitaro saba yenye urefu wa kilometa 84 na magati 110, tanki za kuhifadhia huku kazi iliyobaki kwa sasa ni kulaza mabomba na kujenga magati 15.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Agrey Mwanri, alisema bungeni jana kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa kijiji hicho wanapata maji safi na salama.
Alikuwa akijibu swali la...
11 years ago
GPL
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
11 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


10 years ago
Mtanzania13 May
JK ajionea adha ya mafuriko Dar
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete jana alitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam ambayo yameathirika na mafuriko kutokana na mvua inayoendelea kunyesha.
Ziara hiyo ilianzia katika daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi katika Wilaya ya Temeke na kumalizia katika Daraja la Jangwani katika Wilaya ya Ilala.
Rais Kikwete baada ya kuona daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi, alitoa agizo kwa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kuweka...