Iramba yatengewa bil. 1.6/- za maji
WIZARA ya Maji imetenga sh bilioni 1.6 kwa ajili ya kuboresha huduma ya maji safi na salama katika Wilaya ya Iramba, mkoani Singida katika kipindi cha kuanzia mwaka wa fedha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Miradi ya maji Kwimba yatengewa bil. 2/-
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kwimba imetenga sh bilioni 2.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji kwa mwaka wa fedha 2014/15. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Barabara Mpanda-Misamo yatengewa bil. 4.5/-
SHILINGI bilioni 4.5 zimetengwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa barabara ya Mpanda hadi Mishamo kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 100. Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge,...
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
SEMA yatumia shilingi milioni 380 kusambaza Maji Iramba
Mtendaji mkuu wa shirika la MEDICOR la nchini Uingereza, Fortunat Walther (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya ujenzi wa visima vya maji kwa meneja wa SEMA, Ivo Manyaku, wakati Walther alipotembelea miradi hiyo inayofadhiliwa na shirika lake.
Na Nathaniel Limu, Iramba
SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali Linaloboresha na Kusimamia Mazingira ili kuleta Maendeleo Endelevu (SEMA) la mjini Singida limetumia zaidi ya sh milioni 380 kwa ajili ya utekelezaji mradi wa maji wilayani Iramba,...
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Mar
Bil. 1.8 zajenga miundombinu ya maji
SERIKALI imetumia sh. bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Kibirizi wilayani Bukoba.
Fedha hizo zimetumika kuchimba mitaro saba yenye urefu wa kilometa 84 na magati 110, tanki za kuhifadhia huku kazi iliyobaki kwa sasa ni kulaza mabomba na kujenga magati 15.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Agrey Mwanri, alisema bungeni jana kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa kijiji hicho wanapata maji safi na salama.
Alikuwa akijibu swali la...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Mradi wa maji kugharimu bil. 49/-
SERIKALI kupitia Wizara ya Maji, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na maji taka katika miji ya halmashauri za Geita, Sengerema na Ukerewe mkoani Mwanza (LVWATSAN II), unaogharimu...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Miradi ya maji kugharimu bil. 238/-
MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka ya jijini Mwanza (Mwauwasa), inatarajia kutumia euro milioni 104.5, sawa na zaidi ya sh bilioni 238.7 kwa ajili ya kujenga na kutekeleza miradi mbalimbali ya...
11 years ago
Habarileo06 Jan
Taasisi za Serikali zadaiwa bil.10/-za maji
TAASISI mbalimbali za Serikali, ikiwemo hospitali, majeshi na magereza, zinadaiwa na mamlaka za maji nchini zaidi ya Sh bilioni 10 ambazo ni malimbikizo ya ankara za maji.
11 years ago
Habarileo02 Jun
Sh bil 7 kukabili adha ya maji Dar
SERIKALI imetenga Sh bilioni saba katika mwaka wa fedha 2014/15, kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi ili kupisha mradi wa Bwawa la Kidunda, litakalotumika kukabili adha ya maji jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo20 Dec
Serikali yadaiwa Sh bil 15 ankara za maji
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema mamlaka za maji na mashirika yanayotoa huduma za maji nchini, yanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 15 na wadaiwa wakubwa ni vyombo vya ulinzi na usalama.