Serikali yadaiwa Sh bil 15 ankara za maji
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema mamlaka za maji na mashirika yanayotoa huduma za maji nchini, yanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 15 na wadaiwa wakubwa ni vyombo vya ulinzi na usalama.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Jan
Taasisi za Serikali zadaiwa bil.10/-za maji
TAASISI mbalimbali za Serikali, ikiwemo hospitali, majeshi na magereza, zinadaiwa na mamlaka za maji nchini zaidi ya Sh bilioni 10 ambazo ni malimbikizo ya ankara za maji.
11 years ago
Mwananchi29 May
Serikali yaiongezea Wizara ya Maji Sh100 bil
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Serikali yapeleka neema ya maji Manyoni, kutumia Bil moja na nusu
Picha juu na chini ni Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makala, akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kijiji cha Makale na Itagata jimbo la Manyoni magharibi.Makala alikuwa jimbo la Manyoni magharabi kwenye ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi, John Paulo Lwanji.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala (Mb), amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida na kutangaza neema ya maji baada ya kusema kuwa...
11 years ago
Habarileo31 Jan
Waanza kutumia MaxMalipo kulipia ankara za maji
WAKAZI wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake wameanza kutumia mashine za Maxmalipo kulipa bili zao za maji. Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Athanas Leonce alisema mashine hizo zinaendelea kusambazwa kwa mawakala wao katika maeneo mbalimbali mjini Iringa.
11 years ago
Mwananchi26 May
Serikali yadaiwa kupoteza Dola 581
9 years ago
StarTV07 Nov
Serikali yadaiwa kuyatelekeza majengo yake
Serikali imedaiwa kuyatelekeza majengo ya iliyokuwa kambi na Hospitali ya Ukoma kwa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaliyopo katika kijiji cha Bugoma kata ya Kisondela wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Kutelekezwa kwa majengo hayo kwa miaka mingi iliyopita kumetokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa maambukizi ya ugonjwa wa ukoma unaosababisha ulemavu ambao waathirika wake ndio waliokuwa wakiishi katika kambi hiyo. Majengo hayo ambayo yanaonekana ni imara na yanaweza kutumika kwa...
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Serikali yadaiwa kugawa eneo kwa wawekezaji
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Mar
Bil. 1.8 zajenga miundombinu ya maji
SERIKALI imetumia sh. bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Kibirizi wilayani Bukoba.
Fedha hizo zimetumika kuchimba mitaro saba yenye urefu wa kilometa 84 na magati 110, tanki za kuhifadhia huku kazi iliyobaki kwa sasa ni kulaza mabomba na kujenga magati 15.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Agrey Mwanri, alisema bungeni jana kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa kijiji hicho wanapata maji safi na salama.
Alikuwa akijibu swali la...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Mradi wa maji kugharimu bil. 49/-
SERIKALI kupitia Wizara ya Maji, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na maji taka katika miji ya halmashauri za Geita, Sengerema na Ukerewe mkoani Mwanza (LVWATSAN II), unaogharimu...