Serikali yadaiwa kupoteza Dola 581
Serikali imedaiwa kupoteza Dola za Kimarekani 581 milioni kila mwaka kutokana na ununuzi wa dawa za virutubisho vya madini kwa watoto chini ya miaka mitano na wanawake nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Dec
Serikali yadaiwa Sh bil 15 ankara za maji
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema mamlaka za maji na mashirika yanayotoa huduma za maji nchini, yanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 15 na wadaiwa wakubwa ni vyombo vya ulinzi na usalama.
9 years ago
StarTV07 Nov
Serikali yadaiwa kuyatelekeza majengo yake
Serikali imedaiwa kuyatelekeza majengo ya iliyokuwa kambi na Hospitali ya Ukoma kwa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaliyopo katika kijiji cha Bugoma kata ya Kisondela wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Kutelekezwa kwa majengo hayo kwa miaka mingi iliyopita kumetokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa maambukizi ya ugonjwa wa ukoma unaosababisha ulemavu ambao waathirika wake ndio waliokuwa wakiishi katika kambi hiyo. Majengo hayo ambayo yanaonekana ni imara na yanaweza kutumika kwa...
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Serikali yadaiwa kugawa eneo kwa wawekezaji
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Serikali yakiri kupoteza mabilioni
SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
Serikali ya kijiji Ruvu yadaiwa kuuza shamba kinyemela
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani
WANANCHI wa kitongoji cha Ruvu darajani, wilayani Bagamoyo, wameilalamikia serikali ya muda ya kitongoji cha Ruvu, kata ya Vigwaza, kwa kuuza shamba la ekari 10 mali ya kijiji.
Imeelezwa kuwa shamba hilo limeuzwa kwa maslahi binafsi na bila kuwashirikisha wana kijiji.
Mwana kijiji, Athumani Mkali, alisema uongozi wa muda wa kijiji cha Ruvu kuuza eneo hilo ni batili. “ Ukizingatia pia baadhi ya wananchi wengi hawana maeneo ya makazi na mashamba, leo eneo linauzwa kwa...
9 years ago
StarTV11 Sep
 Serikali yadaiwa zaidi ya Sh. Mil. 872 wilayani Mbarali
Walimu wa shule za msingi na Sekondari katika Halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanaidai Serikali zaidi ya Shilingi Milioni 872 za malimbikizo ya stahiki mbalimbali ikiwemo Mishahara. Takwimu zilizotolewa na uongozi wa Chama cha Walimu CWT wilayani humo zinaonesha kuwa sehemua ya madai hayo inawahusu walimu wastaafu na baadhi yao wameshafariki.
Waalimu hao wamesema kucheleweshewa kulipwa madeni yao kunasababisha malalamiko ya marakwa mara kutokana na kuahidiwa kulipwa madani yao...
10 years ago
MichuziFUJO KATIKA SHOW YA DIAMOND ILIYOFANYIKA NCHINI UJERUMANI YADAIWA KUSABABISHA HASARA YA EURO 300,000,YADAIWA PROMOTA HAKUWA NA BIMA.
Stuttgart,Ujerumani,Anayejiita promota Biritts Event - inayomilikiwa na Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria amejikuta katika mashaka baada ya ripoti ya polisi kuthibitsha jumla ya hasara ya Euro 300,000(Tsh.600 Million) zilizo sababishwa na fujo ya siku ya jumamosi 30 Augost 2014 baada ya msanii wa NASIB ABDUL AKA DIAMOND PLATINUMZ kuchelewa kufika ukumbini mjini...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Serikali ipo hatarini kupoteza hisa NBC
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Rais Kikwete alaumiwa CCM kupoteza viti Uchaguzi Serikali za Mitaa