Serikali yadaiwa zaidi ya Sh. Mil. 872 wilayani Mbarali
Walimu wa shule za msingi na Sekondari katika Halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanaidai Serikali zaidi ya Shilingi Milioni 872 za malimbikizo ya stahiki mbalimbali ikiwemo Mishahara. Takwimu zilizotolewa na uongozi wa Chama cha Walimu CWT wilayani humo zinaonesha kuwa sehemua ya madai hayo inawahusu walimu wastaafu na baadhi yao wameshafariki.
Waalimu hao wamesema kucheleweshewa kulipwa madeni yao kunasababisha malalamiko ya marakwa mara kutokana na kuahidiwa kulipwa madani yao...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Dec
Mbarali watenga mil 4.4/- kukarabati madaraja
HALMASHAURI ya wilaya ya Mbarali imelazimika kutenga Sh milioni 4.4 ikiwa ni bajeti ya dharura kwa ajili ya ukarabati wa madaraja mawili yaliyoharibika kufuatia mbao kuoza.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXw2yC3sq0IIR00Ad6ZnkHlC8PYv5WLR*gP2FpZbyQ09GfZG3PBDgZrEZjIQDzcCFjjicRy45ERx3cSNg0w6-GUT/kamandadiwanathuman.jpg)
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MBARALI
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Hotel ya Blue Peal yafungwa, yadaiwa mil 639/-
![Baadhi ya Wafanyakazi wa majembe Auction Mart wakichukua viti Hoteli ya Blue Pearl](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Blue-Pearl.jpg)
Baadhi ya Wafanyakazi wa majembe Auction Mart wakichukua viti Hoteli ya Blue Pearl
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Udalali ya Majembe Auction Mart, imeifunga Hoteli ya Blue Pearl ya jijini Dar es Salaam na kutoa vitu vyote nje kwa madai kwamba mmiliki wake anadaiwa kodi Dola za Marekani 380,000 ambazo ni sawa na Sh milioni 635.9.
Tukio hilo, limetokea jana ambapo wafanyakazi wa Majembe waliingia hotelini hapo wakiwa na gari la fuso lenye namba za usajili T389 AGG kwa ajili ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u0bUiztYm98/VbzjkqYw4BI/AAAAAAAHtC4/y5GgwRvOGwY/s72-c/MMGL3284.jpg)
LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA, ADHAMINIWA NA ZAIDI YA WANANZANIA ZAIDI YA MIL. 1.6
![](http://1.bp.blogspot.com/-u0bUiztYm98/VbzjkqYw4BI/AAAAAAAHtC4/y5GgwRvOGwY/s640/MMGL3284.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LJ-Vd5Gz7bY/VbzjnXGvIII/AAAAAAAHtDM/bi0pM0ml8R0/s640/MMGL3330.jpg)
9 years ago
Michuzi21 Dec
SERIKALI WILAYANI CHUNYA KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WAJIPANGA KUTATUA KERO ZA MAJI WILAYANI HUMO
Na Ezekiel Kamanga ,Mbeya,Jamiimojablog SERIKALI wilayani Chunya Mkoani Mbeya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wameendelea na jitihada mbalimbali katika...
9 years ago
Habarileo07 Jan
JET yapongeza Serikali kwa kurejesha ardhi ya Mbarali
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET ) kimempongeza Rais John Magufuli kwa kufuta hati ya umiliki wa hekta 1,870 alizouziwa mwekezaji mwaka 2006 na kuamuru ardhi hiyo kurudishwa kwa wananchi wa Kijiji cha Kapunga, wilayani Mbarali.
10 years ago
Vijimambo24 Dec
NDANI YA KLABU YA YANGA, YADAIWA ZAIDI YA BILIONI MBILI ZAPOTEA KATIKA MAZINGIRA YA KIESCROW
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/nji.png)
Baadhi ya majina ya wafanyakazi wa zamani wakiongozwa na aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo bwana Beno Njovu jana walipelekwa kituo cha polisi cha Central kuhojiwa kutokana na ubadhirifu huo.
Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu hiyo kimesema zaidi ya bilioni...
9 years ago
StarTV07 Nov
Serikali yadaiwa kuyatelekeza majengo yake
Serikali imedaiwa kuyatelekeza majengo ya iliyokuwa kambi na Hospitali ya Ukoma kwa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yaliyopo katika kijiji cha Bugoma kata ya Kisondela wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Kutelekezwa kwa majengo hayo kwa miaka mingi iliyopita kumetokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa maambukizi ya ugonjwa wa ukoma unaosababisha ulemavu ambao waathirika wake ndio waliokuwa wakiishi katika kambi hiyo. Majengo hayo ambayo yanaonekana ni imara na yanaweza kutumika kwa...
11 years ago
Mwananchi26 May
Serikali yadaiwa kupoteza Dola 581