Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JET yapongeza Serikali kwa kurejesha ardhi ya Mbarali

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET ) kimempongeza Rais John Magufuli kwa kufuta hati ya umiliki wa hekta 1,870 alizouziwa mwekezaji mwaka 2006 na kuamuru ardhi hiyo kurudishwa kwa wananchi wa Kijiji cha Kapunga, wilayani Mbarali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kilindi kurejesha ardhi kwa wananchi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, imekusudia kuirejesha katika serikali za vijiji ardhi iliyochukuliwa kinyume na sheria, ili iweze kugawiwa  kwa wananchi wasio na maeneo. Pia halmashauri hiyo...

 

9 years ago

Raia Mwema

Nguvu ya umma yashinda mgogoro wa ardhi Mbarali

HATIMAYE serikali imekiri kuwa hekta 1,870 ziliingizwa kwenye Shamba la Kapunga, katika Wilaya ya

Felix Mwakyembe

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MKOA WA IRINGA YAPONGEZA MTANDAO WA MATUKIODAIMA KWA KUHAMASISHA AMANI

Mkurugenzi na  mmiliki wa mitandao(BLOGU)  ya   www.matukiodaima.co.tz Bw  Francis Godwin  akimkabidhi mkuu  wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza stecker za kubandika katika magari na maeneo mbali mbali zinazohamasisha amani kuelekea  uchaguzi  mkuu utakaofanyika Octoba 25  mwaka  huuKamanda  wa  polisi  wa  mkoa wa Iringa Ramadhan  Mungi akionyesha sticker za  kuhamasisha amani na  utulivu nchini kuelekea  uchaguzi  mkuu zinazotolewa na mtandao  wa www.matukiodaima.co.tz kwa mkoa wa Iringa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA UBUNGE JIMBO LA MBARALI LIBERATUS MWANG'OMBE AWASILI MWALIMU NYERERE INTERNATIONA AIRPORT TAYARI KWA KUANZA SAFARI YAKE YA KUWATUMIKIA WANA MBARALI

Akiwa anatokea masomoni Marekani, mtia nia Liberatus Mwangombe kwenye jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA amewasili mchana huu kwenye kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Mwang'ombe anatarajia kuwa na mikutano na baadhi ya viongozi wa kitaifa Makao Makuu ya CHADEMA hapo kesho kabla ya kuelekea jimboni, Mbarali, siku mbili zijazo.

Akiongea na muwakilishi wa studio za SUN SHINE kutoka Chimala punde tu alipo shuka Airport ya Mwalimu Nyerere, Mwang'ombe amesema...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yapongeza mradi wa Champion

SERIKALI imepongeza juhudi zilizofanywa na Mradi wa Champion katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi. Hayo yalisemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali, Donan Mmbando katika mkutano wa kufunga mradi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

UNDP yapongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Alberic KacouMWAKILISHI wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) amepongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar kwa kuondosha siasa za chuki na uhasama kwa wananchi wa Zanzibar na kufungua ukurasa mpya wa maelewano.

 

9 years ago

StarTV

 Serikali yadaiwa zaidi ya Sh. Mil. 872 wilayani Mbarali

Walimu wa shule za msingi na Sekondari katika Halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanaidai Serikali zaidi ya Shilingi Milioni 872 za malimbikizo ya stahiki mbalimbali ikiwemo Mishahara. Takwimu zilizotolewa na uongozi wa Chama cha Walimu CWT wilayani humo zinaonesha kuwa sehemua ya madai hayo inawahusu walimu wastaafu na baadhi yao wameshafariki.

Waalimu hao wamesema kucheleweshewa kulipwa madeni yao kunasababisha malalamiko ya marakwa mara kutokana na kuahidiwa kulipwa madani yao...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kufuta miliki za ardhi kwa vigogo

Waziri wa wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema Serikali itafuta umiliki wa ardhi kwa vigogo waliojilimbikizia maeneo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani