MTIA NIA UBUNGE JIMBO LA MBARALI LIBERATUS MWANG'OMBE AWASILI MWALIMU NYERERE INTERNATIONA AIRPORT TAYARI KWA KUANZA SAFARI YAKE YA KUWATUMIKIA WANA MBARALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-FgLfDOG1RHc/VZsXKAI0-sI/AAAAAAAATFM/VcpK8wXJ54k/s72-c/IMG-20150706-WA0053.jpg)
Akiwa anatokea masomoni Marekani, mtia nia Liberatus Mwangombe kwenye jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA amewasili mchana huu kwenye kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Mwang'ombe anatarajia kuwa na mikutano na baadhi ya viongozi wa kitaifa Makao Makuu ya CHADEMA hapo kesho kabla ya kuelekea jimboni, Mbarali, siku mbili zijazo.
Akiongea na muwakilishi wa studio za SUN SHINE kutoka Chimala punde tu alipo shuka Airport ya Mwalimu Nyerere, Mwang'ombe amesema...
Vijimambo