Serikali yapongeza mradi wa Champion
SERIKALI imepongeza juhudi zilizofanywa na Mradi wa Champion katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi. Hayo yalisemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali, Donan Mmbando katika mkutano wa kufunga mradi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Jan
UNDP yapongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa
MWAKILISHI wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) amepongeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar kwa kuondosha siasa za chuki na uhasama kwa wananchi wa Zanzibar na kufungua ukurasa mpya wa maelewano.
9 years ago
Habarileo07 Jan
JET yapongeza Serikali kwa kurejesha ardhi ya Mbarali
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET ) kimempongeza Rais John Magufuli kwa kufuta hati ya umiliki wa hekta 1,870 alizouziwa mwekezaji mwaka 2006 na kuamuru ardhi hiyo kurudishwa kwa wananchi wa Kijiji cha Kapunga, wilayani Mbarali.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U3VjHNTO43c/Xu38WmEcnHI/AAAAAAALuvs/9xtZaf2BnlAjJRY_jqULl2dwwwyweU2OgCLcBGAsYHQ/s72-c/c703b6fc-e48b-4869-a42f-be7756243aba.jpg)
Serikali yapongeza juhudi za usafi wa mazingira kwenye shule za Mkoa wa Manyara
![](https://1.bp.blogspot.com/-U3VjHNTO43c/Xu38WmEcnHI/AAAAAAALuvs/9xtZaf2BnlAjJRY_jqULl2dwwwyweU2OgCLcBGAsYHQ/s640/c703b6fc-e48b-4869-a42f-be7756243aba.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/0b82bd68-8256-49f8-bee2-65aff82528f5.jpg)
9 years ago
MichuziSERIKALI YA MKOA WA IRINGA YAPONGEZA MTANDAO WA MATUKIODAIMA KWA KUHAMASISHA AMANI
10 years ago
MichuziSERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO
10 years ago
StarTV15 Feb
Serikali yaruhusu mradi wa mkaa endelevu.
Na Jackson Monela,
Morogoro.
Serikali imeruhusu kuendelea kutekelezwa kwa mradi wa mkaa endelevu wilayani Kilosa mkoani Morogoro licha ya baadhi ya wadau wa mazingira kupinga kwa madai kuwa umeleta athari ya kupoteza misitu mingi.
Awali mradi huo ulisitishwa kwa muda mara baada ya kuona ukichangia uharibifu wa mazingira kutokana na kukithiri kwa ukataji miti hatua ambayo iliilazimu Serikali kutaka mradi huo usitishwe kwa muda ili kupisha uchunguzi maalum.
Kwa muda mrefu nishati ya mkaa...
11 years ago
Habarileo18 Mar
Serikali yaombwa kuanzisha mradi wa kuchakata mazao
SERIKALI imetakiwa kuanzisha mradi wa mfano wa kuchakata mazao ya kilimo na hasa matunda katika ngazi ya mikoa. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Taasisi ya Tan Tanzania, Deusdedit Kizito wakati wa kuzungumzia fursa za mazao ya kilimo katika soko la dunia baada ya kuhudhuria maonesho ya bidhaa za Kilimo hai ya BioFach ya Ujerumani na mboga ya Berlin.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Lembeli: Serikali iondoe VAT vifaa vya mradi
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli, ameishauri serikali kuondoa kodi kwenye vifaa vya mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu unaoendeshwa...