Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaombwa kuanzisha mradi wa kuchakata mazao

SERIKALI imetakiwa kuanzisha mradi wa mfano wa kuchakata mazao ya kilimo na hasa matunda katika ngazi ya mikoa. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Taasisi ya Tan Tanzania, Deusdedit Kizito wakati wa kuzungumzia fursa za mazao ya kilimo katika soko la dunia baada ya kuhudhuria maonesho ya bidhaa za Kilimo hai ya BioFach ya Ujerumani na mboga ya Berlin.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kudhibiti biashara ya mazao nje kupunguza mfumko wa bei

Baadhi ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara wa mazao mbalimbali jijini Mbeya wameiomba Serikali kudhibiti biashara ya mazao ya chakula nje ya nchi hatua ambayo itasaidia kupunguza mfumko wa bei za vyakula.

Wamesema kwa sasa bei za vyakula kutoka kwa wakulima mashambani zimepanda tofauti na ilivyokuwa miezi michache iliyopita hali inayochagiwa na uuzwaji wa mazao hayo nje ya nchi.

Mazao yaliyopanda bei ni pamoja nyanya na Mchele ambao sasa unauzwa kati ya shilingi 34,000 mpaka 40,000 kwa debe...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KULIINGIZA ZAO LA PILI PILI KICHAA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI.


Mhandishi na mkulima wa Manguajuki manispaa ya Singida,akikagua pilipili kichaa.Bei ya pilipili kichaa kilo ni shilingi 5,000 kwa kilo. Sehemu ya ekari tano za shamba la pilipili kichaa la mhandisi/mkulima wa Manguanjuki manspaa ya SingidamHassan Tati. Mmoja kati ya miche ya mapapai iliyopo kwenye shamba la pilipili kichaa linalomilikiwa na mhandisi/mkulima Haasan Tati mkazi wa Manguanjuki nje kidogo ya mji wa Singida.Mhandisi na mkulima na mkazi wa Manguanjuki manispaa ya ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant

3

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akitembeea katika eneo la mradi wa nyumba za wafanyakazi wa Mradi wa kuchakata Gesi Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant  wakati wa ziara ya Maafisa Mawasiliano Serikalini leo Mkoani Mtwara. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAEEZO Bibi. Zamaradi Kawawa na Mkuu wa Kitengo Serikalini wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud(katikati).

4

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,...

 

10 years ago

Michuzi

Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa Kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant na kutoa msaada katika hospital ya Ligula

Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao walipotembelea Hospitalini hapo leo.Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaombwa ruzuku Skauti

SERIKALI imeombwa kutenga bajeti maalumu itakayotolewa ruzuku kwa vijana Skauti nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuwaandaa kuwa na uzalendo. Ombi hilo lilitolewa na Kamishina Mkuu Msaidizi Programu za VijanaSkauti,...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yaombwa kuwabana waajiri

Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa yaombwa kupunguza pembejeo

>Wakulima wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda wilayani Lushoto, mkoani Tanga, wameomba Serikali kuwapunguzia gharama za pembejeo za kilimo ili walime kisasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Serikali yaombwa kutofunga misikiti Kenya

Hali imetulia mjini Mombasa baada ya ghasia kuzuka polisi walipovamia msikiti mmoja ambapo walidai kuwa vijana walikuwa wanapewa mafunzo ya itikadi kali za kiisilamu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaombwa kusaidia chakula Ngorongoro

SERIKALI imeombwa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha inasaidia wananchi waishio katika Tarafa ya Ngorongoro ambao hivi sasa wanakabiliwa na uhaba wa chakula na kuchangia mahudhurio duni ya wanafunzi shuleni. Ombi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani