Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa Kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant na kutoa msaada katika hospital ya Ligula

Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao walipotembelea Hospitalini hapo leo.Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant

3

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akitembeea katika eneo la mradi wa nyumba za wafanyakazi wa Mradi wa kuchakata Gesi Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant  wakati wa ziara ya Maafisa Mawasiliano Serikalini leo Mkoani Mtwara. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAEEZO Bibi. Zamaradi Kawawa na Mkuu wa Kitengo Serikalini wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud(katikati).

4

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maafisa Mawasiliano watoa msaada katika hospital ya Ligula-Mtwara

1

Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao walipotembelea Hospitalini hapo jana.

 2

 

10 years ago

Vijimambo

TPDC YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA MTWARA,SONGO SONGO LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM.

Viongozi mbalimbali wa TPDC wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka Kushoto ni Kamishna Msaidizi-GAS, Mhandisi Norbert Kashozya , Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile, Mwenyekiti wa Bodi TPDC, Michael Mwande, Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO, Mhandisi Kapuulya Musomba na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleleo ya Mafuta Gesi, Mhandisi, Joyce Kisamo. Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC kuongea na waandishi wa habari katika Mkutano wa Taarifa ya Utekelezaji...

 

10 years ago

Habarileo

Songo Songo wapewa boti iendayo mwendo wa kasi

WAKAZI wa Kijiji cha Songo Songo mkoani Lindi, wamepatiwa msaada wa boti ya mwendo kasi ya kubeba wagonjwa yenye thamani ya Sh milioni 80 itakayosaidia kutatua tatizo la usafiri wa haraka uliokuwa ukiwakumba.

 

11 years ago

Michuzi

KILWA KISIWANI NA SONGO MNARA YAONDOLEWA KATIKA ORODHA HATARISHI YA UNESCO

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mahmoud Mgimwa akipongezwa na mmoja wa wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa UNESCO jijini Doha, Qatar kufuatia hatua ya Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara kuondolewa katika orodha ya maeneo ya urithi wa dunia yaliyo hatarini kutoweka na kurudishiwa hadhi yake ya awali ya urithi wa dunia. Wanaoshuhudia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Tarishi Kibenga (kati) na Mkurugenzi wa Malikale Bw. Donatius...

 

9 years ago

Michuzi

TPDC YAANZA KUZALISHA GESI YA KWANZA HUKO MNAZI BAY, MTWARA

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na kampuni za Maurel and Prom na Wentworth Resources, leo hii wameendelea na zoezi nyeti la kutoa gesi asilia katika kisima namba 3 kilichopo Mnazi Bay (MB3) kwenda katika kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba, Mtwara. 
Zoezi hili ni muendelezo wa ukamilishaji wa mradi mkubwa wa Serikali wa kuzalisha gesi asilia kwa madhumuni ya kuzalisha umeme hapa nchini.
Akiongea wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

US Ambassadors Fund for Cultural Preservation Supports Cultural Heritage at Kilwa Kisiwani and Songo Mnara, Tanzania

Ancient ruins at Kilwa Kisiwani in Southern Tanzania. The United States Embassy Public Affairs Officer Ms. Marissa Maurer along with representatives from the Ministry for Natural Resources & Tourism and local dignitaries, celebrated the successful conclusion of a project to conserve ancient ruins at the Kilwa Kisiwani and Songo Mnara World Heritage Site. This project was implemented in partnership with the Tanzanian government’s Antiquities Division and the World Monuments Fund, with...

 

11 years ago

Michuzi

Kilwa Kisiwani and Songo Mnara RUINS removed from UNESCO List of World Heritage in Danger

The World Heritage Committee meeting in Doha (Qatar) has found that management and safeguarding of the Ruins of Kilwa Kisiwani and Ruins of Songo Mnara in the United Republic of Tanzania have improved to the point where the site can be removed from the List of World Heritage in Danger.   Located on two islands close to each other just off the Tanzanian coast about 300km south of Dar es Salaam, Kilwa Kisiwani and Songo Mnara were Swahili trading cities.  Their prosperity was based on control...

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO - MAEKANI

 Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa ufafanuzi kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa, mradi mpya ambao unahusisha ujenzi wa vyumba vya madarasa, kumbi za mikutano na ofisi za watumishi, eneo la Maekani Chuo Kikuu Mzumbe.  Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa  maelezo kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  kuhusu ujenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani