TPDC YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA MTWARA,SONGO SONGO LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM.
Viongozi mbalimbali wa TPDC wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka Kushoto ni Kamishna Msaidizi-GAS, Mhandisi Norbert Kashozya , Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile, Mwenyekiti wa Bodi TPDC, Michael Mwande, Kaimu Meneja Mkuu wa GASCO, Mhandisi Kapuulya Musomba na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleleo ya Mafuta Gesi, Mhandisi, Joyce Kisamo. Kaimu Mkurugenzi wa TPDC, James Andilile akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC kuongea na waandishi wa habari katika Mkutano wa Taarifa ya Utekelezaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi03 Jan
10 years ago
Dewji Blog27 Jan
Maafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akitembeea katika eneo la mradi wa nyumba za wafanyakazi wa Mradi wa kuchakata Gesi Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant wakati wa ziara ya Maafisa Mawasiliano Serikalini leo Mkoani Mtwara. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAEEZO Bibi. Zamaradi Kawawa na Mkuu wa Kitengo Serikalini wa Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud(katikati).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,...
10 years ago
MichuziMaafisa Mawasiliano watembelea Mradi wa Kuchakata Gesi wa Tanzania Mnazi Bay and Songo Songo Gas Processing Plant na kutoa msaada katika hospital ya Ligula
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: Hatimaye Gesi Asilia kutoka Mtwara yafika Dar es salaam
10 years ago
Habarileo18 Feb
Songo Songo wapewa boti iendayo mwendo wa kasi
WAKAZI wa Kijiji cha Songo Songo mkoani Lindi, wamepatiwa msaada wa boti ya mwendo kasi ya kubeba wagonjwa yenye thamani ya Sh milioni 80 itakayosaidia kutatua tatizo la usafiri wa haraka uliokuwa ukiwakumba.
9 years ago
MichuziUZINDUZI WA kiwanda cha kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara
10 years ago
MichuziBODI YA TPDC YAKAMILISHA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE KUZINDUZUA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA
5 years ago
MichuziKatibu Mkuu Nishati akagua uzalishaji wa gesi asilia Lindi na Mtwara
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( mwenye wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa msimamizi...