BODI YA TPDC YAKAMILISHA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA
Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ikiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Michael Mwanda, imekamilisha ziara ya kukagua miundombinu ya kuchakata gesi asilia na bomba la gesi asilia katika Mikoa ya Lindi, Mtwara na Dar es salaam. Katika ziara hiyo Bodi ya TPDC ilipata fursa ya kujionea na kufanya ukaguzi wa hatua za mwisho za ujenzi wa miundombinu hiyo.Moja ya kisima gesi asili kinacho endelea kufanyiwa utafiti, kilichopo kisiwa cha Songo Songo ambacho kinacho endeshwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBODI YA WAKURUGENZI (EWURA) YATOA UAMUZI KUHUSU MAOMBI YA TPDC YA TOZO ZA HUDUMA ZA KUCHAKATA NA KUSAFIRISHA GESI ASILIA
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa agizo kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) kuzingatia kanuni za ushindani pamoja na kuiarifu EWURA kila TPDC inapofanya manunuzi ya thamani yanayozidi dola za Marekani 5 Milioni.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam,Mkururugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),Felix Ngamlagosi amesema agizo hilo litaanza kutekelezwa kuanzia tarehe...
10 years ago
VijimamboTPDC YATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA MTWARA,SONGO SONGO LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM.
9 years ago
MichuziTPDC: Gesi asilia ipo na ziada
Dk. Mataragio ameongeza kuwa mchanganuo huo wa uzalishaji wa gesi unazidi mahitaji yetu kwa sasa na hivyo...
10 years ago
MichuziTPDC YAOMBA TOZO EWURA KUSAFIRISHA GESI ASILIA
GESI asilia ni bidhaa muhimu kwa maendeleo ya wananchi na uchumi wa nchi yeyote ikiwemo Tanzania.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadick wakati wa ufunguzi wa taftishi juu ya maombi la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhusu mapendekezo ya tozo ya uchakataji na usafirishaji wa Gesi asilia uliofanyika.
Mhe. Sadick amesema kuwa, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilipokea maombi ya Shirika la...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE KUZINDUZUA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA
10 years ago
Habarileo09 Jan
Mradi wa gesi ‘waikuna’ Bodi Wakurugenzi TPDC
BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), imeridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa miundombinu ya gesi asilia ambayo imekamilika kwa asilimia 95.
10 years ago
Michuzi03 Jan
10 years ago
Vijimambo28 Oct
Wabunge wacharukia mikataba ya gesi asilia
Usiri katika mikataba 26 ya utafiti na uchimbaji wa gesi umezidi kuigubika nchi, baada ya menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kukaidi maagizo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na hivyo kuzua mvutano mkubwa kati yake na kamati hiyo kikaoni.
Maagizo hayo ambayo yalitolewa na PAC mwaka jana, yaliitaka menejimenti ya TPDC kuwasilisha taarifa ya mapitio ya mikataba hiyo pamoja na mikataba...
10 years ago
Habarileo09 Jan
Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-
MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.