Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbarali watenga mil 4.4/- kukarabati madaraja

HALMASHAURI ya wilaya ya Mbarali imelazimika kutenga Sh milioni 4.4 ikiwa ni bajeti ya dharura kwa ajili ya ukarabati wa madaraja mawili yaliyoharibika kufuatia mbao kuoza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muhimbili watenga mil 80/- za utafiti

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imetenga Sh milioni 80 katika mwaka 2014/2015 kwa ajili ya kufanya utafiti kwa lengo la kuongeza ubora wa huduma zinazotolewa hospitalini hapo.

 

9 years ago

Vijimambo

JIMBO LA ILALA WATENGA MIL 300 KUKOPESHA WAJASILIAMALI

Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Jimbo la Ukonga kufanya mkutano wa kampeni eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Jimbo la Ukonga kufanya mkutano wa kampeni eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa kampeni Jimbo la Ilala Viwanja vya Amana jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa kampeni Jimbo la Ilala Viwanja vya Amana jijini Dar es Salaam.
 MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu amemweleza mgombea...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jimbo la Ilala watenga Mil 300 kukopesha wajasiriamali

IMG_0143

Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili Jimbo la Ukonga kufanya mkutano wa kampeni eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ilala, Mussa Hassan Zungu amemweleza mgombea mwenza nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kuwa jimbo hilo limetenga kiasi cha shilingi milioni 300 kwa ajili ya kuwakopesha wajasiriamali wanawake na vijana kupitia vikundi vyao.

Zungu aliyasema hayo alipokuwa akitoa...

 

11 years ago

Habarileo

Sh mil 120 kutumika kukarabati mahakama

Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman MakunguJUMLA ya Sh milioni 120 zitatumika kwa ajili ya kuyafanyia ukarabati majengo mawili ya Mahakama ya Makunduchi na Mahakama ya Kadhi Mwanakwerekwe mjini Unguja.

 

9 years ago

StarTV

 Serikali yadaiwa zaidi ya Sh. Mil. 872 wilayani Mbarali

Walimu wa shule za msingi na Sekondari katika Halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanaidai Serikali zaidi ya Shilingi Milioni 872 za malimbikizo ya stahiki mbalimbali ikiwemo Mishahara. Takwimu zilizotolewa na uongozi wa Chama cha Walimu CWT wilayani humo zinaonesha kuwa sehemua ya madai hayo inawahusu walimu wastaafu na baadhi yao wameshafariki.

Waalimu hao wamesema kucheleweshewa kulipwa madeni yao kunasababisha malalamiko ya marakwa mara kutokana na kuahidiwa kulipwa madani yao...

 

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA UBUNGE JIMBO LA MBARALI LIBERATUS MWANG'OMBE AWASILI MWALIMU NYERERE INTERNATIONA AIRPORT TAYARI KWA KUANZA SAFARI YAKE YA KUWATUMIKIA WANA MBARALI

Akiwa anatokea masomoni Marekani, mtia nia Liberatus Mwangombe kwenye jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA amewasili mchana huu kwenye kiwanja cha ndege cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Mwang'ombe anatarajia kuwa na mikutano na baadhi ya viongozi wa kitaifa Makao Makuu ya CHADEMA hapo kesho kabla ya kuelekea jimboni, Mbarali, siku mbili zijazo.

Akiongea na muwakilishi wa studio za SUN SHINE kutoka Chimala punde tu alipo shuka Airport ya Mwalimu Nyerere, Mwang'ombe amesema...

 

11 years ago

Mwananchi

Manyara watenga bajeti ya mabilioni ya fedha

Mkoa wa Manyara kwa mwaka umekadiria kutumia Sh165.3 bilioni kwa ajili ya kutengeneza bajeti yake ya miaka ya 2014/15 na 2016/17.

 

10 years ago

Habarileo

WHC watenga bilioni 400/- ujenzi wa nyumba

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga Sh bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Serikali katika mikoa 13 nchini. Ujenzi wa nyumba hizo unatarajiwa kuanza Oktoba mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

MADARAJA YASOMBWA NA MAJI MOROGORO


Moja ya Daraja lilisombwa na maji Manispaa ya Morogoro

………………………………..

NA FARIDA SAIDY,MOROGORO

Mvua zinazonyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta madhara, ambapo baadhi ya Madaraja yamesombwa na maji na kufanya baadhi ya mitaa kutofikika, Mito mikubwa kufurika ukiwemo Mto Morogoro na Mto Mkundi iliyokatiza katikati ya Mji hivyo maji kutiririka kuelekea katika makazi ya watu.

Hata hivyo Wakazi waliopembezoni mwa mito hii mikubwa ukiwemo Mto Morogoro na Mto Mkundi wanasema, pamoja na hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani