WHC watenga bilioni 400/- ujenzi wa nyumba
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga Sh bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Serikali katika mikoa 13 nchini. Ujenzi wa nyumba hizo unatarajiwa kuanza Oktoba mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
10 years ago
Mtanzania10 Apr
WHC kutoa mikopo ya nyumba bila masharti
NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
TAASISI ya Mpango wa Makazi kwa Watumishi (WHC) inatarajia kutoa mkopo wa nyumba za bei nafuu kwa watumishi wa umma bila masharti yoyote.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja Masoko wa WHC, Raphael Mwabukonde, alisema hakutakuwa na masharti yoyote kwa mtumishi atakayetaka kukopa kwa sababu watadhaminiwa na Serikali.
Alisema taasisi hiyo imeanzishwa kwa lengo la kuwawezesha watumishi wa umma kupata makazi bora baada ya kustaafu, hivyo Serikali iliamua kuwadhamini...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
WHC yadhamiria kuwamilikisha nyumba watumishi wa umma
TAKWIMU zinaonyesha kwamba kuna mahitaji ya nyumba milioni tatu nchini na kila mwaka zinatakiwa nyumba 200,000. Wakati takwimu zikionyesha hivyo, ni asilimia mbili tu ya watu wanaojenga kupitia mikopo ya...
11 years ago
Mwananchi15 May
WHC kumaliza kero za nyumba kwa watumishi?
10 years ago
MichuziMFUKO WA ZAO LA KOROSHO WATENGA BILIONI 6 KUJENGA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO.
Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mikataba baina ya mfuko huo na wataalamu washauri jana (Jumatano Mei 6, 2015), Mwenyekiti wa Bodi ya...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Mfuko wa kuendeleza zao la Korosho watenga bilioni 6 kujenga viwanda vya kubangulia Korosho
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Mundhir Mundhir akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini na wataalamu washauri wa kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mtendaji...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
TTB yavuna faida ya Sh 400 bilioni
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-J1KuMNZ4gd8/U5dwf2_IUWI/AAAAAAAFpo0/wfMo_dYntrM/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
10 years ago
Habarileo29 Sep
Muhongo: Ujenzi njia ya umeme kilovoti 400 kukamilika 2016
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji umeme wa msongo mkubwa, kilovoti 400 itakamilika pasipo shaka ifikapo June 2016.